Mbeya imepotea na Mark Mwandosya?


Eti anaijua Mbeya kuliko Watu wotee[emoji3][emoji3][emoji3]

Ina maana anajua mpaka Kiwango cha Wengine kuijua Mbeya!

Wanyakyusa wameanza kuwafunika Wahaya kwa kujisifu!
 
Jiulize kwanini uwanja ulichukua zaidi ya miaka 12 kukamilika na hasa angalia kususua kwake baada ya awamu ya tatu kutoka madarakani?
 
Ile Nyumba Yake Ya lufilyo daah ni moja kati Ya wanasiasa wacheche sana waliojipanga na kustaafu huwezi fananisha ule mjengo na kibanda cha mzee wangu marehemu SITTA ( kibanda kwa maana Ya hadhi Yake ) Mcheza kwao utunzwa
 
Jiulize kwanini uwanja ulichukua zaidi ya miaka 12 kukamilika na hasa angalia kususua kwake baada ya awamu ya tatu kutoka madarakani?
Hiyo haielezei manufaa ya uwanja na kwanini iliamuriwa ujengwe. Wanasiasa wetu ni wabinafsi sana. Uwanja wa Songwe umepigwa sana fitna na viongozi wengi akiwemo Sumaye aliyetaka ujengwe uwanja wa kisongo Arusha badala ya Songwe. Ni kutokana na umuhimu wa Songwe ndo maana pamoja na nguvu ya Waziri Mkuu Sumaye, mradi wa Songwe ulianza.
 
Hujui siasa zilizokuwepo. Unaeleza kishule zaidi kuliko uhalisia uliokuwepo.
Siasa za Sumaye kutaka ujengwe uwanja wa Kisongo wakat KIA ipo? Hoja hujibiwa kwa hoja. Kwanini Songwe imejengwa pamoja na fitna zote ndo hoja ya msingi. Mengine hayo ni ya ziada.
 
Siasa za Sumaye kutaka ujengwe uwanja wa Kisongo wakat KIA ipo? Hoja hujibiwa kwa hoja. Kwanini Songwe imejengwa pamoja na fitna zote ndo hoja ya msingi. Mengine hayo ni ya ziada.
You are now back to what I meant. Shikamoo Sooth. Karibu Kasulu.
 
muache mkuu,rais hata asipotupia jicho mkoa wetu tutaujenga sisi wenyew pamoja ni viongozi wetu na wasomi ambao wapo huku,kinachotakiwa ni sisi wenyew kuamua wala si mpaka serikali au rais aje kutufanyia au sijui NHC waje wajenge nyumba zao no.mkoa tu wenyew una potential kubwa pia kuliendesha na kuingizia mapato taifa so bado mkoa wa mbeya una nafasi kubwa kujiendeleza wenyew.
 
Mkuu ulichoandika ni kwel kabisa kwa upande wangu namfahamu Mwandosya mpaka kijijin kwake pale Lufilyo kwa hiyo asikuzingue mjinga yoyote.
Mkuu inatuuma sana kwa nguli wetu wa kisiasa kuchezewa rafu, mbaya zaidi CCM Makao Makuu haijawahi kuwa na programu maalum kufufua umaarufu wake wa asili mkoani Mbeya.
 
Acha ushamba mwandosya ndio kitu gan?huon mbeya inasonga mbele coz wanapenda mabadiliko? Malaria ya lumumba shida kweli!
 
Ni kazi ipi aliyoifanya Mwandosya mkoani Mbeya hadi tushangilie,najua utasema Uwanja wa Ndege wa Songwe,lakini yeye ni mmaliziaji tu waliocheza pasi za mwisho na kuukimbiza mpira ni wengine,hakuna jambo lolote jipya alilolifanya Mwandosya hadi akumbukwe,tutawakumbuka akina Nsekela,Mwaikambo,Mwangoka hawa ndio walikuwa kila kitu kwa mkoa wa Mbeya na Mungu awape pumziko la amani.
 
Mbeya CCM haipendwi full stop.

usimsingizie prof bure. Mbona Sugu 2010 alichaguliwa kuwa mbunge huku prof akiwa bado very powerful pale Mbeya.

mimi nawajua ndugu zangu "Wasokile". hawapendagi ujinga wale!
 
Huyo Nsekela,Mwaikamba na Mwangoka waliifanyia nini Mbeya....?.....mchango wa Mwandosya huujui?....ama kibri....huo uwanja wa ndege songwe bila jitihada zake akiwa waziri wa mawasiliano..waziri mkuu Sumaye wakati ule...alishautosa...na fungu la ujenzi alikuwa anahamishia pengine
 
Uko sahihi sana mkuu make hata chuo walinyang'anywa sahivi kimepelekwa kask
 
Ndaga fijo kikolo
 
Mkuu ulichoandika ni kwel kabisa kwa upande wangu namfahamu Mwandosya mpaka kijijin kwake pale Lufilyo kwa hiyo asikuzingue mjinga yoyote.
Mkuu yule ni jembe letu wana Mbeya, tumpe moyo ili asaidie kupigania maendeleo ya Mbeya yote.
Katika muda wote huu, mimi sijaona mtu waa kuvaa viatu vyake.
 
Lugombo Nsesi ?
Lugombo huku Mwaya,Nsesi kule Katumba Songwe!Sehemu mbili tofuti kabisa ehehhe!
Prof Mwandosya hapatani na serikali hii sababu aliwananga kuwa Rais JK alikuja na jina la JPM mfukoni
Sidhani kama tutapewa mradi wowote wa maana kwa miaka hii mitano
Tuvumilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…