Mbeya gesti yenye vyumba self contained inaanzia elfu kumi

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,298
Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki.

Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini bei elfu kumi.

Wali samaki nimekula sehemu kwa shilingi 2500.
 
Mbeya Raha sanaaaa
 
Kwa hyo huyo jamaa yako mnyakyusa alishindwa kwenda kukugegeda mbeya hotel room bei ya chini 100k?
Akaenda kukugegedea kwenye gesti ya elfu kumi mkaishia kupiga chafya kutokana na shahawa za watu wengine🤮🤮
Aibu kama hizi ,bora mtu kujilipua tu Hotel nzuri kuliko kuaibika, hapo mwana alizingua
 
Aisee
 
Karibu sana mbeya na kama unataka viwanja vyenye totozi njoo DM,Kesho weekend mkuu
Asante sana mkuu. Hii mikoa yenye baridi totoz zenu zinakuwa na umeme sana zinaogopwa.
 
Kwa ujumla Mbeya ni moja ya maeneo yenye machache nchini ambayo maisha yapo chini sana. Sijui kwa miaka ya sasa.

Ila kwa miaka ile niliyoishi maeneo ya Mbalizi, Iyunga, Nzovwe, Kalobe, Mbembela, Mabatini kule Meta, nk. Kwa kweli maishi yalikuwa poa sana. Yaani ya ndonya moja ya mchele ilikuwa inaanzia shilingi 300 tu! 😇
 
Samaki aina Gani??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…