snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
Uhuru Selemani hakuachwa, yeye mwenyewe aliomba mkataba wake uvunjwe ili awe huru kutafuta timu nyingine na akawa amesajiriwa Mwadui FC.Mkuu Jamal Malinzi hapa sheria zinasemaje? Na si huyu tu, nakumbuka Uhuru Seleman naye alitemwa, ila sina uhakika kama naye ilikua dk za majeruhi kama huyu Deo.
mimi nafikiri jana Boniface Wambura alitoa maoni mazuri sana kuhusu mikataba ya wachezaji na jinsi inavyoweza kwisha,hpa tusubiri Mbeya watupe maelezo kuhusu hii ishu then from therer tunaweza kupata pa kuanzia
Uhuru Selemani hakuachwa, yeye mwenyewe aliomba mkataba wake uvunjwe ili awe huru kutafuta timu nyingine na akawa amesajiriwa Mwadui FC.
lakini kama ndio wamefanya hayo
ni upuuzi wa msimu. Kwa kawaida mkataba ukifika miezi sita ya mwisho busara huwa ni kumtaarifu mchezaji kuwa klabu haina mpango wa kumpa mkataba mwingine ili kama anaweza kusaka timu afanye hivyo.
Sio kama, It's done already.
Jana Deo mwenyewe was lamenting concerning this issue
na he depended much on soccer to spoonfeed his family.
how would he survive ?