Mbeya: Barabara yapigwa sementi badala ya lami

Mbeya: Barabara yapigwa sementi badala ya lami

Hiyo barabara ya meta haijawahi kuwa katika hali nzuri hata siku moja, itakua maajabu kama itahimarika baada ya huo ukarabati.

Mbeya haibadiliki tu hizo picha kama ni recent inatia huruma maana mji ulikua hivyo hivyo miaka10 iliyopita.
 
barabara mpya ilishajengwa hapo , picha hiyo ya zamani sana
 
Mbona post yako haina maoni?, tatizo ni nini hapo?, ni kuziba viraka kwa sement?! Au ni barabaa kuharibika? Au unadhani sementi haijengi barabara?!, nijuavyo mimi siyo lami tu ndiyo hutengeneza barabara: baadhi ya brbr za ulaya hutengenezwa kwa material mbadala kama vile crankers na au polymers(soil binders) na brbr huwa imara kuliko lami. Hata south africa sasa wanatumia polymers. Sementi hutengeneza brbr imara zaidi kuliko lami; mf: brbr za kiwanda cha sement -songwe mbeya zimejengwa kwa sement na hubeba mitambo mizito zaidi. Kwa hiyo barabara ikitengenezwa kwa sement bila uchakachuaji huwa imara zaidi.
Hata barabara za lami kuna baadhi ya maeneno hutumika zege kama msingi C1, CRR,
kw akifaransa tunaita ''Couche de base''
 
HOT NUUZ!! SAKATA LA KUTENGENEZA BARA BARA YA LAMI KWA KUTUMIA CEMENT: MKURUGENZI WA JIJI ASEMA BARABARA IMETENGEWA MILIONI 400 KWA AJILI YA UKARABATI

Hii ndio Bara bara ya Mbalizi Road Maeneo ya Hospitali ya wazazi Meta Jijini Mbeya, Ikiwa imezibwa viraka kwa kutumia Cement

Baadhi ya Viraka vikiwa vimezibwa

Mafundi wakiwa bize wanahangaika kuziba viraka hivyo

Wafanya kazi wa Jiji wakiendelea kukoroga zege tayari kupeleka kuziba viraka katika bara bara ya lami

Shughuli ya kuziba viraka kwa kutumia cement imekamilika, Inasubiri kukauka magari yaanze kupita

Mafundi wakiendelea kuziba mashimo ya Bara bara kwa Kutumia Cement

Mkurugenzi wa Jiji La Mbeya akiongea na waandishi wahabari

Mmoja wa Waheshimiwa Madiwani akihoji juu ya uzibaji wa viraka vya bara barani, na kusema kama vinafaa akawambie wananchi nao waanze kuziba bara bara hizo kwa kutumia Cement

****************************

Hata barabara za lami kuna baadhi ya maeneno hutumika zege kama msingi C1, CRR,
kw akifaransa tunaita ''Couche de base''
 
Mbona post yako haina maoni?, tatizo ni nini hapo?, ni kuziba viraka kwa sement?! Au ni barabaa kuharibika? Au unadhani sementi haijengi barabara?!, nijuavyo mimi siyo lami tu ndiyo hutengeneza barabara: baadhi ya brbr za ulaya hutengenezwa kwa material mbadala kama vile crankers na au polymers(soil binders) na brbr huwa imara kuliko lami. Hata south africa sasa wanatumia polymers. Sementi hutengeneza brbr imara zaidi kuliko lami; mf: brbr za kiwanda cha sement -songwe mbeya zimejengwa kwa sement na hubeba mitambo mizito zaidi. Kwa hiyo barabara ikitengenezwa kwa sement bila uchakachuaji huwa imara zaidi.

Hata barabara za mwendo wa haraka Dar zimejengwa kwa Cement,labda mdau kaona sio vizuri kuwrka kiraka cha Cement kwenye Lami.Lami iwe kwa lami na Cement kwa Cement
 
Kwa bibi paleeeeee dah noma kitambo asante kwa picha hiyo bara bara ni tatizo tokea tunasoma hadi saizi tunazeeka zaid ya miaka 20 kazi yao ni kuweka vilaka tu
 
Watakuambia ujenzi huo ni utekelezaji wa Big Results Now!!!

:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Kama ungepita jimbo ya magufuli ndio ungeona vituko wameziba kwa udongo na sasa mvua imenyesha viraka vimetoka vyote
 
Tatizo ni huo mchanyato kati ya dongo ulaya na lami hilo ndo tatizo la mleta uzi kwamba itadumu? duh hii ni sawa kunywa chai ya motoo kwa kachumbari yenye pilipili nyingiii.
 
Back
Top Bottom