Mbeya: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

Mbeya: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,293
Reaction score
583
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Mbeya. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.

Kwa maelezo zaidi usome hapa: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/793264-kwa-wanaume-na-wanawake-udongo-natural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html

Mbeya - Soweto
Haule - 0756994850 na 0784658349
 
Zai kwa Arusha naweza pata jina la duka na eneo lilipo nifate moja kwa moja badala ya no ...
 
Kwa sasa pia tumeweza kuhakikisha kwa watumiajai kuwa udongo wetu umewasaidia sana wenye "fungus" vidoleni, miguuni na sehemu za siri. Muwasho kwenye mapaja na sehemu za siri. Mapele ya mwilini yasiyokwisha.

Pia wale wenye sugu za miguu, visigino vinavyokuwa vigumu na kupasuka pasuka huisha wiki moja tu na hakuna haja tena ya kusugua na mawe.
 


  • Na sasa kwa mara ya kwanza Tanzania unaweza ku "afford" luxury ya "mud bath" nyumbani kwako.

    Mud Bath ni njia moja ya kutoa sumu za mwilini na kuufanya mwili uwe morororo na kujisikia mchangamfu sana kila unapoifanya. Tatizo kubwaa lilikwa ni gharama zake. Wenezetu nje hutumia mpaka dollar 200 kwa kufanya mud bath kwenye maspaa.

    Tanzania tumejaaliwa neema ya kuweza ku afford bath kama bure. Jaribu.

    Unachukuwa pakti moja ya udongo wetu, siku moja kwa wiki, ambayo unataka ku relax, unatia kwenye maji bakuli moja (kama nusu kita maji), unauacha kwa muda wa saa moja ujichanganye wenyewe kisha unautazama uzito wake, (uwe kama kwenye picha), unajisiriba mwili mima (kama kwenye picha, usiache sehemu, uso na kila mahala.

    Matokeo yake ni ya ajabu, uchovu wote huondoka mwilini, unajisikia fresh sana na ngozi inakuwa nyororo na vipele vipele vyote vinaondoka.

    Jisomee:

    Introduction of Mud Baths

    Mud bath is a detox therapy, which has become extremely popular around the globe. Until rather recently, many European practitioners promoted mud baths as a treatment for arthritis. This back to the basics, relatively simplest of alternative therapies, tends to help relax muscles, soothe aches, improve blood circulation and smoothen the skin. With today's emerging trends mud baths are often recommended to help reduce stress and leave us feel rejuvenated at the end of the session.

    [TABLE="class: cms_table, width: 255"]
    [TR]
    [TD="width: 100%, align: left"]
    bodywrapnew.gif
    [/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]



    Skin and Detoxification

    Conscious detoxing is a great way to achieve optimum health. The best ways to detox is through the skin. Detoxification is one of the most effective methods to eliminate toxic substances that build up throughout our system. The toxins present in the environment constantly attack the body. These toxins get accumulated in the body's fat layers. Accumulation of toxins in the body cause harm to the biological processes. Hence, it becomes essential to remove the toxins regularly from the body otherwise; a high toxin load may cause skin problem, frequent or recurring colds, chronic pains, low energy levels, allergies and other illness.

    The skin is the largest breathing human organ. Keeping the skin healthy promotes general health and well being. Taking a hot bath or sauna promotes sweating that flushes the toxins away from the body. Mud baths draw out the toxins and impurities from the body, exfoliating and nourishing the skin.

    Read more: Mud Baths Mud Baths



 
ClayMask.jpg


What is it?
An ancient remedy, used as a detoxifier for centuries for a number of different ailments (More info).
It's a very fine powder, derived from volcanic ash.

A number of high end spa brands actually use this as a base for treatment masks in their facials.

Now in Tanzania at affordable prices.
About the Product




  • World's most powerful facial
  • Deep pore cleaning
  • 100% natural clay
  • Does not contain: Additives, fragrances, animal products


Be proud, its a product of Tanzania 100% Natural.

Hii bidhaa ni kama ndoto na nzuri hata kwa wenye allergy ambao hawawezi kutumia masks na kufanya facials kwa dawa zenye kemikali.

Pitia hapa kwa maelezo zaidi:
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/793264-kwa-wanaume-na-wanawake-udongo-natural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html​



 
Jisomee zaidi matumizi ya huu udongo:

So What's The Rave About: Aunt Zainab's Natural Super Clay




Ok..I can't say enough about this magic clay! I absolutely love all of the uses and benefits that it offers; from hair to skin to internal health, it is absolutely O' MAZING. I'm finding that so many O'Naturals are falling more and more in love with this powdery goodness. Before I get into the uses, let me first key you in on the wonderful benefits of Aunt Zainab's Natural Super Clay .


Benefits Aunt Zainab's Natural Super Clay :







Aunt Zainab's Natural Super Clay and Hair:
Ok..I must say, I absolutely love Bentonite Clay treatments..they make my hair feel absolutely wonderful. So here are some wonderful ways to use Bentonite Clay when you want to remove product buildup, impart sheen and enhance curl pattern.


  • The treatment should be done on unwashed slightly damp hair. This is an alternative to using a clarifying shampoo, so use it as often as you like when you feel the need to remove any product, mineral or chemical buildup.
  • Mix Bentonite Clay, Apple Cider Vinegar and Aloe Vera Juice or Gel and combine to a pudding like consistency in a non metal bowl and use a non metal utensil. (the amount varies per person depending on the thickness of your hair). I never measure, I just make enough for 1 application for my hair. For an aromatic experience, you can add a few drops of your favorite essential oil (lavender, peppermint, lemongrass, etc)
  • Be sure to add the mixture to your hair in sections, and thoroughly work it throughout the hair (from root to tip).
  • Let the mixture sit on the hair for 20-25 minutes making sure that the clay does not dry on the hair.
  • Thoroughly rinse the mixture out using cool water.
  • Be sure to follow up with a deep condition to restore moisture back into the hair.Rinse, rinse, and let your final rinse be using ACV and cool water. Use a leave in. Seal. Style..And Voila!

The Results : ( I went ahead and applied the clay for my mask as well)
Aunt Zainab's Natural Super Clay and Skin:


  • TheAunt Zainab's Natural Super Clay Detox Mask: Mix 2 TBSP of Bentonite Clay to 4 TBSP of sour cream. Be sure to mix in a non metal bowl and use a non metal utensil.
  • Apply mixture to freshly washed face. Massage in for about 2-3 minutes.
  • Allow Mixture to dry thoroughly (about 20-25 min) then wipe clean with a damp cloth.
  • Follow up with a cool water rinse (to close pores)
  • Tone. Moisturize.
  • Aunt Zainab's Natural Super Clay removes toxins and excess oil from the skin. The Sour Cream helps to fade blemishes and acts as a low grade chemical peel.
  • Instead of the sour cream, you can use Apple Cider Vinegar.
  • Aunt Zainab's Natural Super Clay makes a great body wrap, removing toxins from the entire body.

where to buy: Aunt Zainab's Natural Super Clay

Note: we have replaced all where it says "Bentonite" to
Aunt Zainab's Natural Super Clay as it is superior.

Source: http://allthingsonatural.blogspot.co...nite-clay.html
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Pitia hii link kujionea mwenyewe: Tiba: Unatokwa na Nywele? Una Kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zainab's Natural Super Clay
 
Kuhusu fungus kwenye vidole vya miguuni, unafanyaje?
 
Kuhusu fungus kwenye vidole vya miguuni, unafanyaje?

Tena utashangaa sana.

Unachukuwa kijiko kimoja cha Aunt Zainab's Natural Super Clay, unachanganya na maji unakoroga inakuwa nzito kama hinna (ugali mlaini), unapaka unawacha ikauke, na unaweza kulala nayo.

Siku ya kwanza tu utaanza kuona mabadiliko, endelea nayo mpaka uone sasa umepona kabisa.
 
Tena utashangaa sana.

Unachukuwa kijiko kimoja cha Aunt Zainab's Natural Super Clay, unachanganya na maji unakoroga inakuwa nzito kama hinna (ugali mlaini), unapaka unawacha ikauke, na unaweza kulala nayo.

Siku ya kwanza tu utaanza kuona mabadiliko, endelea nayo mpaka uone sasa umepona kabisa.

Na bei ya huu udongo ni sh ngapi?
 
Na bei ya huu udongo ni sh ngapi?

Mkebe mmoja ni 3,500 ambao kwa matumizi ya usoni au kichwani kila siku mara moja unaweza kuutumia siku kumi mpaka 14.

Kwa fungus za miguuni pekee huo mkebe mmoja unaweza ukakuponesha kabisa, inategemea na jinsi zilivyokuathiri.
 
Wateja wetu wa Mbeya tunawaomba msamaha kwa kuikosa Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa siku mbili tatu hapo Mbeya, sasa imewasili.

Mnaweza kuwasiliana na Haule kwa maelezo zaidi.

Mbeya - Soweto
Haule - 0756994850 na 0784658349
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom