Mbeya again! Soko lateketea kabisa mjini Tunduma

mbeya, mbeya ,mbeya ,mbeyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????
 
Zimamoto walifika, lakini walikuwa hawana maji, na walifika wakiwa wamechelewa sana
 
wanaroga mno hao
Kusema wanaroga sana ni kufanya fikra zidumae na kuepuka kutafuta chanzo. Sitegemei kama Mbeya ni wachawi dunia nzima, kiasi kwamba uchawi wao tu ndio uchome masoko. Kwanza shetani ni yuleyule, hivyo hakuna sehemu ambayo itakuwa na wachawi wa kutisha kuliko sehemu nyingine. Hapa kuna kitu, naamini Mbeya kuna watu specialist wa kuchoma masoko. Ni kama deal fulani...
 
Mi sidhani kama kuna kingine zaidi ya system zetu za umeme, uelewa mdogo wa watu kuhusiana na viashiria vvya vyanzo vya moto, uhaba wa wataaalamu katika fani hiyo na vitu vingine vya kitaalamu zaidi. Hatupeani report baada ya majanga ya moto kutokea. Kuna kikosi cha zimamoto kila sehemu lakini kikosi hiki kiko hoi kweli kweli, watu wamegeuza haya magari kuwa ya kubebea maji ya kunywa kwenye baadhi ya maeneo badala ya kutumika kuelemisha umma namna ya kupambana na kujiepusha na uwezekano wa kusababisha janga la moto.

Nchi nyingi zinakumbwa na haya majanga tena zilizo endelea tofauti ni namna yanavyotokea. Kwetu sisi naona yanasababishwa na uzembe, ujinga na miundo mbinu ya umeme kuwa imechoka zaidi.
 
unapingana na mtu (definitely Mtanzania) anayewakilisha kama asilimia 70% ya Watz wote.
Inasikitisha sana mkuu
Kusema wanaroga sana ni kufanya fikra zidumae na kuepuka kutafuta chanzo. Sitegemei kama Mbeya ni wachawi dunia nzima, kiasi kwamba uchawi wao tu ndio uchome masoko. Kwanza shetani ni yuleyule, hivyo hakuna sehemu ambayo itakuwa na wachawi wa kutisha kuliko sehemu nyingine. Hapa kuna kitu, naamini Mbeya kuna watu specialist wa kuchoma masoko. Ni kama deal fulani...
 
Iko siku magamba watachoma mji wote au watasema mby ipo zambia
 
Back
Top Bottom