Babuj96 Senior Member Mar 26, 2016 136 54 Mar 28, 2016 #1 Niko na swali; Hivi ukila tikiti na mbegu zake kuna faida au hasara au madhara yoyote kwa mwili wa binadamu?
Niko na swali; Hivi ukila tikiti na mbegu zake kuna faida au hasara au madhara yoyote kwa mwili wa binadamu?
M maite dan Senior Member Mar 18, 2016 145 90 Mar 30, 2016 #2 Kuna faida. Mbegu za tikitit husafisha tumbo