Mbegu za kiume zina madhara kumezwa?

Hivi kuna chochote kitokacho kwa mwanaume kilicho kisafi kuliko 'mbegu za kiume'?
 
Hivi kuna chochote kitokacho kwa mwanaume kilicho kisafi kuliko 'mbegu za kiume'?

LOL ...............ukitizama kwenye end point kuwa anapatikana mtoto basi hakuna kitu kisafi na bora kama hicho. :]

Lakini jee ukiona imemtapakaa mtu kwenye suruali, utauita uchafu au usafi?
 
kama afya yako ni mgogoro kuna uwezekano wa kumuambukiza hepatitis,kama huna tatizo(baada ya kuchekiwa) na wote mnapenda basi awe anazikusanya mdomoni ukimaliza anatema na kusukutua na mouthwash.Nawe pia unalamba chumvi ? sio mambo ya utumwa ?
Yote sawa lakini hapa penye kulamba chumvi pagumu kidogo
 
LOL ...............ukitizama kwenye end point kuwa anapatikana mtoto basi hakuna kitu kisafi na bora kama hicho. :]

Lakini jee ukiona imemtapakaa mtu kwenye suruali, utauita uchafu au usafi?

Of course ikitoka nje kama unavyosema machoni inakuwa ni 'uchafu'. Lakini kama 'malaji' anatap moja kwa moja kutoka kwenye 'source' involvement ya macho inakuwa haipo tena na hivyo perception ya 'uchafu' pengine itaondoka!? In any case, kwa watu waliopo kwenye intimacies za namna hiyo, naamini ni vitu vichache sana vina qualify kuitwa uchafu.
 
zinatibu yafuatayo!
Zinapunguza uzito
Zinashusha blood presure
Zina ng'arisha ngozi
Zinatoa chunusi usoni
Zinaongeza hamu ya chakula.
 
habari wanajf?,nitangulize shukran zangu kwa wanajamvi wote kwa michango yenu yenye kuelimisha sana.

Kwangu mimi jf ni zaidi ya darasa tena la bure kbs...

Ok mi naomba kusaidia kujua madhara/na faida atakazopata mtu atakayemeza mbegu za kiume.

ni maziwa yale, endelea kumeza tu. Unajipatia lishe bureeee
 
Hamna jibu la moja kwa moja, ni kwamba zinaeza kuwa na madhara na zisiwe nayo pia, hii inategemeana na mtu atakaye zitoa na mtu atakaye zimeza hizo Shahawa..
 
wewe unauliza madhara ya mbegu za kiume kumeza je umekaa na kufikiria ni madhara yapi yatokeayo unaponyonywa hadi kuzimwaga hizo mbegu ???
 
Hivi unapata utamu gani kufanywa mdomoni. Kumbuka hii ni kinyume cha maumbile - kwa vyoyote lazima kuna madhara. Mbegu za kiume ni salama zikiingia zilipopangiwa kungia sawa na mavi yakiingia chooni; tofauti na hivyo, ni madhara matupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom