Anna F1 ndo the best. Bei nakumbuka ni 80000 kwa pakti na pakti huwa na vimbegu 500 ndani ya pakti moja
Ukiipanda miezi mitatu kuota miezi 6 kuvuna jumla miezi 9
Mavuno yake, mche mmoja hutoa debe 20 hadi unakufa huo mche. Na mavuno ni miezi 6
Nyanya zake, zinavutia sana, kiganjani zinakaa tatu. Mana ni kubwa sana ndio maana hutoa debe 20 kwa mche
Hatari yake, ukikutana na kinyaushi (ugonjwa) unaweza kimbia kilimo usilime tena, kama ni mkopo waweza jinyonga
Upandaji wake. Hukas kwenye kitalu kwa siku 21 na kuamishiwa shambani
Nakutakia kila la heri katika kilimo cha nyanya ndani ya kitalu nyumba
Uzuri wa hii mbegu ulime ndani ya banda ila ukilima nje kwenye mvua kali hata si nzuri.Hii mbegu kanda zote inafanya vzur? Maana pia naskia inatatizo ya ganda lake la nje kuwa rojo rojo