Mbegu bora za mbogamboga

Mna brunch dar?
 
Safi Sana mkuu vitu vyangu kabisaaaa
 
Mkuu Mimi ni mdau naomba nikuchangie tu hata nisipolima ila nimevutiwa sana na kazi Yako naomba mbegu hizi kama unazo
Broccoli gram25
Zucchini grm25
Butternut
Bamia 25
Matore ama gongwe 25
Karoti 25
Calflower (sijui kama nimepatia ). 25

Gharama ya mbegu hizi isizidi 100k unaweza punguza gram ilimradi tu nipate zote hizo.
 
Sawa mkuu, nashkuru sana kwa pongezi. Naomba unitumie sms whatsap kwenye namba hiyo ya voda uniambie ulipo na tuwasiliane zaidi juu ya namna yakukupatia hizo ulizohitaji. Karibu sana mkuu
 
Tukuyu _Mbeya mnatuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…