Mbege....!!!!

Mbege....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Kitu baarriidd
 

Attachments

  • 1389021738110.jpg
    1389021738110.jpg
    44.2 KB · Views: 337
hapana best mfuko ulikuwa sio mzuri kwenda kule kutanua
ikabidi nitume nauli ya kwena na kurudi kwa wazee wajimwage kwa kisusio
Mbuzi wa Ngaramtoni,mengwe,tarakea wamenikosa kipindi hiki
Best Christmass hukwenda nini?
 
hapana best mfuko ulikuwa sio mzuri kwenda kule kutanua
ikabidi nitume nauli ya kwena na kurudi kwa wazee wajimwage kwa kisusio
Mbuzi wa Ngaramtoni,mengwe,tarakea wamenikosa kipindi hiki
best ulikosa uhondo. nilikamua kitu mbege na kisusio cha Rombo source then nikahama mpaka kwa Mromboo jiji la mabilionea kula mbuzi choma na kinana bariiiiiiiiiiiidi sana. Nasikia ikifika kipindi kile huwa mabenki yanakopesha sana vipi hukupanga foleni?
 
haaha mimi ntaenda huko pasaka fujo zitakua sio kubwa.
itabidi nikutafute mromboo unionyeshe viwanja vya ukweli
 
Back
Top Bottom