Mbege zinakondesha miguu

Mbege zinakondesha miguu

Waanze kutumia rubisi na senene na hakika miguu itanenepa watazame wahaya
 
Interestingly kuna watoto wakali pia waliokamilika kila idara kutoka kwa wanywa mbege hao hao. So acha ku generalize..
 
Sasa nmeelewa kwann wachaga na wanyakyusa ,ngumu sana kukuta ana Guu LA tembo.

Ila yaweza kua kweli....nisawa nakusema watu waarusha ngorongoro manyara ,wanameno yenye rangi sababu ya maji yakunywa wanayotumia.

Nakubaliana naww.
Kinyume chake, Wanyakyusa wengi ni miguu ya tembo. Labda Wanyakyusa wa Kenya ndiyo asilimia kubwa wana bicycle spooks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom