Mbege zinakondesha miguu

Mbege zinakondesha miguu

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,853
Wengi wetu tunafahamu wakazi wengi hasa kule kunakopikwa sana mbege wanamiguu miembamba, hasa kina dada.

Utafiti Mdogo nilioufanya, wadada wengi waliozaliwa huko kwenye mbege na wakaitumia mbege kwa muda mrefu wengi wao wana miguu midogo kuliko, wale ambao asili yao ni huko huko lakini walizaliwa mjini (Dar, Mwanza etc) Na hawakutumia mbege kabisa.

Hitimisho: Mbege ndio sources ya miguu midogo kwa wadada wanaotoka maeneo yenye mbege.
 
Sasa nmeelewa kwann wachaga na wanyakyusa ,ngumu sana kukuta ana Guu LA tembo.

Ila yaweza kua kweli....nisawa nakusema watu waarusha ngorongoro manyara ,wanameno yenye rangi sababu ya maji yakunywa wanayotumia.

Nakubaliana naww.
 
Wengi wetu tunafahamu wakazi wengi hasa kule kunakopikwa sana mbege wanamiguu miembamba, hasa kina dada.

Utafiti Mdogo nilioufanya, wadada wengi waliozaliwa huko kwenye mbege na wakaitumia mbege kwa muda mrefu wengi wao wana miguu midogo kuliko, wale ambao asili yao ni huko huko lakini walizaliwa mjini (Dar, Mwanza etc) Na hawakutumia mbege kabisa.

Hitimisho: Mbege ndio sources ya miguu midogo kwa wadada wanaotoka maeneo yenye mbege.
zinawafanya muwe na sura za sima, chini kwembamba juu kupana.
 
Kwahiyo dada wa taifa WEMA SEPETU naye ni mnywa mbege? Maana ana ngoko mashallah
 
Ukitaka kujenga familia bora yenye ustawi bora wa kiuchumi na kimaendeleo yanayoonekana kwa macho hilo sio jambo kubwa sana

Ukitaka kuunda familia ya maisha ya bora liende.....mambo ya kijinga kama hayo huonekana makubwa sana
 
Jiwe gizani
 
sura za simba..hahaha, miguu chelewa, kifuoa na kichwa hichooo.....ila wanajua kutafuta hela balaa, na mkishapata hela wanajua namna ya kujiongeza ili wamiliki peke yao.
 
Ila mbege sio mchezo aisee. Watani wangu wachaga sio kwa miguu hiyo...
 
Miguu sawa,,lkn akil ya maisha wengi wao wamebarikiwa na wanaume wa kizazi hiki wanaoa wenye akili kichwani na bichwa maji af shepuuu full hapo washapigwa bao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom