Mbege sio pombe ya kienyeji nakataa

Mbege sio pombe ya kienyeji nakataa

Hapo ushakula kitimoto chako na ndizi.Halafu uweke mbege juu.Yaani,akili ya kutafuta hela,lazima ije tu.MBEGE YA KIBOSHO ROAD,NI TAMU ACHENI TU!
 
Hivi kwa hapa nilipo inapatikana wapi? Msaada tafadhali
 
Hapo ushakula kitimoto chako na ndizi.Halafu uweke mbege juu.Yaani,akili ya kutafuta hela,lazima ije tu.MBEGE YA KIBOSHO ROAD,NI TAMU ACHENI TU!
Acha kutamanisha watu mkuu muda huu wa church!(kitimoto)
 
Hapa arusha karibu baa zote kubwa mbege ipo kwanzia ijumaa mpaka j pili hii kitu ni tamu bwana nainapendwa
 
Back
Top Bottom