Mbege ni kinywaji cha taifa....

Mbege ni kinywaji cha taifa....

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,123
Reaction score
24,401
Yaani mbege acha tu mbe

Hii kitu ni

Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege

Kinywaji yenye virutubisho kama vyote

Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi

Hapa nimetoka moshi nimekuja na kitoto ndoo tele nimejaza kwenye fridge kitu cha baridii

Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
 
Weweee hujaijua nzagamba hii ni mwisho
 
Haswaa mbege Ni kitu fire,enzi za ukoloni wazungu waliwasifu Sana wachaga na walikuwa wanainywa,mbege ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa hali ya juu na material yake Ni ulezi,ndizi mbivu na maji tu
Mwaka 1983 mbunge wa rombo bw ngalai alienda na mbege bungeni akitaka iwe pombe ya asili ya Taifa
Cc
Sky Eclat
instanbul
fazili
chuma cha mjerumani
Jurrasic Park
 
Yaani mbege acha tu mbe

Hii kitu ni

Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege

Kinywaji yenye virutubisho kama vyote

Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi

Hapa nimetoka moshi nimekuja na kitoto ndoo tele nimejaza kwenye fridge kitu cha baridii

Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
Ustaadh Muajemi na wewe unatumiza Mbeke?
 
Yaani mbege acha tu mbe

Hii kitu ni

Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege

Kinywaji yenye virutubisho kama vyote

Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi

Hapa nimetoka moshi nimekuja na kitoto ndoo tele nimejaza kwenye fridge kitu cha baridii

Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
Ayo ni mataptapu tu kama, ngerenge, wanzuki, toga, mberenge, maujiuji tuu hayo sasa hapo unakunywa pombe au ugali wenye konyagi?
 
Pombe ya taifa la kaskazini
tapatalk_1554698650186.jpeg
 
Haswaa mbege Ni kitu fire,enzi za ukoloni wazungu waliwasifu Sana wachaga na walikuwa wanainywa,mbege ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa hali ya juu na material yake Ni ulezi,ndizi mbivu na maji tu
Mwaka 1983 mbunge wa rombo bw ngalai alienda na mbege bungeni akitaka iwe pombe ya asili ya Taifa
Cc
Sky Eclat
instanbul
fazili
chuma cha mjerumani
Jurrasic Park
Mbege ya siku hz nafaka yake inakuwa processed kwenye mifuko ya nylon na wanakaushia kwenye plastic sheets sumu tupu. Bora mtu unywe tu Safari.
 
Sio mbege tu hata chakula cha asili cha uchagani utakipata Tz nzima yaani mtori.
 
Back
Top Bottom