Umenichekesha,iwe pombe ya taifaHaswaa mbege Ni kitu fire,enzi za ukoloni wazungu waliwasifu Sana wachaga na walikuwa wanainywa,mbege ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa hali ya juu na material yake Ni ulezi,ndizi mbivu na maji tu
Mwaka 1983 mbunge wa rombo bw ngalai alienda na mbege bungeni akitaka iwe pombe ya asili ya Taifa
Cc
Sky Eclat
instanbul
fazili
chuma cha mjerumani
Jurrasic Park
Zamani walikuwa wanatumia nini?Mbege ya siku hz nafaka yake inakuwa processed kwenye mifuko ya nylon na wanakaushia kwenye plastic sheets sumu tupu. Bora mtu unywe tu Safari.
Wewe wa wapi, baby cute..Wachaga Kwa kujisifu
Asee uyoo mzee ni wa kitaa chetu...anakaribia kufikisha miaka 100 na bado yuko njema balaaaPombe ya taifa la kaskazini View attachment 1171353
Hajaacha vyomboAsee uyoo mzee ni wa kitaa chetu...anakaribia kufikisha miaka 100 na bado yuko njema balaaa
Ulikunywa dadi weweUpuuzi huu mbege niliionya nikiwa Moshi haina tofauti na shimpumu.



Nadhani umelewa hiyo mbegeImefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa