Yaani mbege acha tu mbe
Hii kitu ni
Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege
Kinywaji yenye virutubisho kama vyote
Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi
Hapa nimetoka moshi nimekuja na kitoto ndoo tele nimejaza kwenye fridge kitu cha baridii
Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
Me too!Hakuna kama chingi!Lakini mimi mnywaji mzuri wa mataputapu
KabisaHaswaa mbege Ni kitu fire,enzi za ukoloni wazungu waliwasifu Sana wachaga na walikuwa wanainywa,mbege ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa hali ya juu na material yake Ni ulezi,ndizi mbivu na maji tu
Mwaka 1983 mbunge wa rombo bw ngalai alienda na mbege bungeni akitaka iwe pombe ya asili ya Taifa
Cc
Sky Eclat
instanbul
fazili
chuma cha mjerumani
Jurrasic Park
Taifa gani sie huku Kazulamimba hatuijuiYaani mbege acha tu mbe
Hii kitu ni
Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege
Kinywaji yenye virutubisho kama vyote
Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi
Hapa nimetoka moshi nimekuja na kitoto ndoo tele nimejaza kwenye fridge kitu cha baridii
Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
umesha lewa tayari mbege nishidaYaani mbege acha tu mbe