MBAYUWAYU kwa kiingereza anaitwaje??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wakuu msaada wenu, anayejuwa mbayuwayu anaitwaje, atupe darasa,
kama kuna picha pia atuwekee
 
Kwa nini hutafuti kwenye GOOGLE? Acha uvivu kijana. Ukizeeka kama sisi itakuwaje? Yaani kila kitu uwekewe mezani? AU ndiyo yale ya Zenji ya ".......kaka Mwamedi, njoo unikatie keki...."

Angalia hapa kwenye WIKIPEDIA na utapata kwa lugha nyingi tu nyingine, inatosha kubadili lugha:
http://sw.wikipedia.org/wiki/Mbayuwayu

Uki-google na kubadili kubonyeza juu kushoto neno GRAPHIC, utaona picha kibao za huyu ndege. Kila la kheri.



OPPSSS: Haitwi Sparrow.
 
asante shemeji yangu sikonge, mke wangu wa zamani alikuwa mnyamwezi
 
Nimechanganya... Asante... ila msamiati wako si mwafaka !!
 
Wakuu msaada wenu, anayejuwa mbayuwayu anaitwaje, atupe darasa,
kama kuna picha pia atuwekee

Swift........japo kuna species (aina) nyingi.........wadau wa bird watching mpo.......
 
Nimechanganya... Asante... ila msamiati wako si mwafaka !!

Mkuu, ilikuwa utani. Majina yanafanana sana na nilijua lazima utakuwa unalifahamu ila umechanganya kidogo sana. Kama ni Point za mtihani basi nakupa 95%. Nina amini wengi tu hawafahamu hili neno. Pia nina wasiwasi kuwa unaweza kuwa umesomea mambo ya wanyama/ndege hadi ukawa umelifahamu/sikia hilo neno SWALLOW (SPARROW). Uko juu Mkuu wangu.......... Tuendelee na mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…