Bonnie1974
JF-Expert Member
- Mar 19, 2008
- 407
- 16
MkuluMzee mi nakushauri unitafute umzibe mkeo jamaa akipanda anakuta pamezibwa au tuwagandishe kabisa....lakini wakigandana ishu itakuwa kubwa mpaka mtaani watu watajua jamaa jamaa kaganda na mkeo alafu itakushushia heshima...
Kama vp mpige juju huyo mmbaya wako....weka software kwa mkeo iwe ina detect yako tu.
Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
Ndugu yangu, ebu pata muda wa kusikiliza wimbo wa AY, bado niponipo kwanza... anasema kama mkeo akimegwa, na wewe tafuta wako ummege, haipunguzi maumivu lakini inaongeza heshima ya kiume
Mpita Bado nipo nipo kwanza ni wa MwanaFA akishirikiana na AY.
Na wewe ukichukuliwa husband wako utafanyaje?Utatafuta mnyonge umchukulie mmewe?
Fide tupe huo mkao ni mkao wa aina gani?
hujatulia!hahahahaha mkuu huo mkao kama anajamba vile! lakini lengo lake aonyeshe kapaja hako...
hujatulia!
Mtoto hapa katulia ana pua ya Kinywaranda kabisaaa au kama Msomali vile au sio Masanilo?
View attachment 4327
Dina huyo Masanilo tuma posa hapo.
Na wewe ukichukuliwa husband wako utafanyaje?Utatafuta mnyonge umchukulie mmewe?
Mmemponda weeee! Sasa mnamfagilia! Ikoje hiyo?
Je kuna ubaya mtu akitumia Ms badala ya Mrs? kwani nijuavyo mie hizo titles has nothing to do with signaling for availability (cheating) ni hulka ya mtu tu . Anaweza akawa anatumia Mrs na bado akacheat.
Ile alikuwa bado mlugaluga hapa pedeshee amempiga na vitu vya S.H Amon ameng'aa
Mtoto hapa katulia ana pua ya Kinywaranda kabisaaa au kama Msomali vile au sio Masanilo?
View attachment 4327
Dina huyo Masanilo tuma posa hapo.