Mbaya wa kikwete 2005 aliishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbaya wa kikwete 2005 aliishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BADO MMOJA, Jul 20, 2012.

 1. B

  BADO MMOJA JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 1,767
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Wana JF naomba mnifahamishe mnamo mwaka 2005 mjini mwanza kuna bwana mmoja alitaka kumwangusha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kufanikiwa kuizuga security system iliyokuwepo pale.Swali langu kwa yeyote anafahamu mtu huyu alishtakiwa Mahakama gani na hatima ya hiyo kesi ilikuwaje.
  Nawaslisha
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyo "shujaa"alifungwa na alikuwa gereza la Butimba sasa sijui kama alimaliza kifungo au bado yumo.Ngoja waje wenye current news.
   
 3. B

  BADO MMOJA JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 1,767
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Sawa Mkuu naendelea kusubiri
   
Loading...