Mbaya sana wanywaji vilevi kugoma

Mbaya sana wanywaji vilevi kugoma

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,846
Reaction score
7,907
Kubwa zaidi ni ya wanywaji pombe (vilevi) wanapanga mkakati wa punguzo bei ya vinywaji na kwa kuwa Serikari yetu siyo sikivu, wanapanga mgomo ambao utahusisha baa na zote kufungwa na walevi kutokunywa ili bei ya vilevi vyote ishuke.

Serikari yetu itakuwa imefika mahala pabaya kwa kuwa inchi hii kwa asilimia kubwa mapato yanategemea ulevi taifa litayumba viongozi tulio nao hawana njia mbadala za vyanzo vya mapato.

CHANZO; Mimi mwenyewe tetesi ni nyingi mitaani (Panapo fuka moshi zima moto chini)
 
Yaani walevi wagome kunywa ugimbi...mmmh!!!
 
Haitakaaa itokee watapanga kukutana kwa ajili ya mikakati ya mgomo mkubwa nchi nzima kila kona kila kichochoro
Mipango itaendelea vema huku wakishushia moja moja mbili mbili tatu tatu, mwisho wa kikao kila mtu keshasahau agenda wote wako njwiiiii...wanaahirisha kikao mpaka siku inayofuata ambapo wakikutana tena watatamani kukata kiu na hangover,wataanza upya halafu wataishia kulekule.....!!!! Walevi kugoma labda Breweries zote na distellaries zote kuanzia komoni, ngumu kumesa mpaka maji ya ilala wasimamishe uzalishaji
 
hakuna kitu kama hicho,kwa shilingi.yenyewe inayoshuka kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom