wakuu nipo ndani ya viunga vya chuo kikuu SAUT ndani ya ukumbi wa m13 ,ambapo kuna kongamano la Mambo ya afya ,ukimwi na vijana wasomi ,kongamano ambalo limeandaliwa chini ya uratibu wa rais wa chuo hicho mwaka janana katibu mwenezi wa CDM SAUT mwaka juzi kamanda Godlisten Malisa,mbali na Mbatia watoa mada wengine wakuu walipaswa kuwa waziri wa afya Hussein Mwinyi na mbunge Machali bt wameingia mitini,stay tuned nitawajuza zaidi