Mbatia: Rais Magufuli si msafi

Namuunga mkono JPM kwa kurudisha uwajibikaji ktk ofisi za Umma.... Zile blah blah zimepungua kwa kiwango kikubwa
 
Kama nime elewa vizuri, hoja ya mleta uzi ni raisi wetu kufuata katiba na sheria zilizopo ambazo aliapa kufuata, kuzilinda na kuzitekeleza na kutoa tamko eeeeh Mungu nisaidie and not otherwise,hayo mambo yote siasa na mengine yote yame elezwa vyema kwenye katiba na sheria zilizopo,binafsi napata shida kuona kosa la thread
 
Mbatia ni bonge la kiongozi mahiri wa kisiasa
Hahahahahaaa. You are kidding!!???##@@%&&&&. Ngoja Makonda amshukie akaungane na kina Kaoge. Mbatia ni zero wa kutisha. Suala la nyumba mheshimiwa Sumaye alishalizungumzia na link mmewekewa hapo juu. Kama Mbatia bado anatafuta kick kwa hilo basi ni kweli hawana hoja tena hawa.
 
Mbati ni dandia kotekote hana lolote huyu.
Mbunge viti maalumu nae anatoa challange?Atulie wanaume wachape kazi.
 
Sasa wewe vipi mbona mapovu yana kumwagika kiasi hiki?
 
Hebu mtuletee mapaya maana yot
JPM anahusika na kashfa nyingi tu, ikiwemo Meli Chakavu, kuhamisha fedha za umma kinyume na Mamlaka ya Bunge na kukandamiza Demokrasia ya Vyama vingi na Uhuru wa kupata Habari, kinyume na Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea.
e mliyosema hayana mashiko yoyote.
 
Safi sa
Saana yaani wanatafutiza kashfa, lakini hamna kitu sisis wananchi tuko naye Rais sambamba!
 
Mie sisemi lolote, sijaona ambapo ana husika moja kwa moja. Leteni ushaidi jamani, zama za sasa ni zakuweka taarifa waziwazi yaani(data) na sio porojo. JF is geuzwe udaku.
 
Mbatiaaaaa, nae ni msafi kweli!!!! kweli Nyani..............
 
Mahaba yamekujaa nsubhati mpaka unashindwa kufikiri na kuona
 
Rais Magufuli ameonyesha vitendo vyote vibaya vilivyokuwa vikitendeka serikalini vilikuwa vinamuuzi lakini alikuwa hana njia. Rais Magufuli alikuwa waziri tu, asingeweza kuuza nyumba za serikali bila uwamuzi wa juu, wa Rais au kamati ya bunge. Rais Maguli hayuko kwenye honey moon, majipu ndiyo yanafikiri yuko kwenye honey moon. wanaomuombea vibaya si masikini bali ni matajiri waliotajirika kwa kunyonya damu za masikini. Milija ya unyonyaji imekatwa sasa wanababaika. Magufuli is a God sent President and no one can succeed to remove him except God. Mutasema mutachoka, just accept and move on.
 
Jambo la Lugumi litamvunjia heshima Rais wetu mpezi. Kama pesa za Lugumi zilitumika kwa chama basi ni vizuri ukweli usemwe otherwise inaonekana Kama serikali inachagua majipu ya kutumbua. Inasemekana Lugumi yaendelea kupata tender za serikali, kama ni kweli basi hii itawapa unyonge Watanzania wengi waliyokuwa na hope ya madiliko ya kupigania haki ya wengi ambawo walikuwa wakidhurumiwa na watu wachache.
 
Leo kamtimua leticea na kumvua uanachama , kwa ubabe, halafu wanasema JPM ni dictator
Mbatia ana matatizo sana,ukitaka akumalize gombea uenyekiti
Polisye mwaiseje
Sam Ruhuza
Letixia
Wotw hao wamekula za uso kutoka kwa Mbatia na chama chake cha mfukoni
 
JPM sio malaika kama tulivyo binsdamu wengine ila Kazi anayofanya nii nzuri sana. Huyo Lowassa wenu mliyetaka awe Rais ana usafi gani? Acheni kudanganya watu.
 
Hakuna msafi. Tumempenda bure kama alivyo. Mbona hata Mbatia kanusurika kupinduliwa kwenye nafasi hiyo? Ni dalili tosha kuwa sio msafi !! Wacha kunyooshea wengine vidole !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…