kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
Wanajamvi nikumbusheni eti Yule Mbatia aliyekuwa anatukanwa na Chadema kuwa ni CCM B ni huyu wa ukawa?.
Eti kijuweni hapa wanasema ukikosana na mwenyekiti tu unaitwa CCM B na ukikataa ama deni la mwenyekiti au maagizo yake wewe ni msaliti.
Mimi sijaelewa mjada huu hapa kijuweni eti kumbe ili uwe kamanda useme ndiyo kwa mwenyekiti!! Kumbe ndiyo maana wakina Lema wanapendwa kisa ni Yes man wa chairman!.
Kijuweni bwana kuna mambo eti ni ngumu kuzuia mafuriko kwa kiganja,wanasema kama si lowassa si ukawa si CCM watabaki salama eti wao wanataka heshima ya nchi irudi yaani Rais aseme watu watekeleze na hasa maamuzi magumu!!
Wadau hiki kijuwe nimekipenda kuna wazalendo na walendo ila pana hoja si porojo tu na gahawa ni 50 tu karibuni.