Mbatia Na Nccr Acha Kutetea Mafisadi

LazaroSMtindi

Senior Member
May 6, 2008
100
5
Magazeti mengi ya leo Tanzania yamepambwa na taarifa za Mbatia wa NCCR kumtaka Spika wa Bunge ajiuzulu ati kwa kushabikia ushirikina Bungeni. Hii ni mara ya nne namwona Mbatia akitumika kama wakala wa mafisadi. Mara ya kwanza alikuja juu kumtetea Lowassa kuwa hakupewa nafasi ya kusikilizwa na Kamati ya Mwakyembe juu ya Richmond, bila kujua kuwa nafasi ya kujitetea alikuwa nayo Lowassa ndani ya Bunge, akachagua kujiuzulu kwa haraka ili mambo mengi yasijulikane. Kesi za EPA na Rada zilipojitokeza, Mbatia akawa bubu kabisa, akisubiri nafasi ya kumkaba koo Spika anayeruhusu mijadala ya aina hiyo Bungeni! Suala la ushirikina lilipoingia Bungeni, Mbatia akawa kinara wa hoja hiyo bila kuelewa kuwa uchunguzi ulikuwa wa lazima kujua kama kile kilichodaiwa kumwagwa Bungeni kilikuwa na sumu au la! Spika Sitta alijieleza vizuri kabisa toka mwanzo kuwa haamini mambo ya kishirikina, lakini lazima achukue tahadhari kulinda usalama wa Wabunge. Sitta alikosea wapi kumwita Mkemia Mkuu wa Serikali kuchunguza unga au vumbi lililokuwemo Bungeni? Mbona safari za ndege zinaahirishwa kwa bahasha ndogo tu kuonekana kwenye kiti mpaka uchunguzi ufanyike? Huo ni ushirikina? Tatizo la Mbatia ni elimu au uwakala/ukuwadi wa kulipwa na mafisadi? Watu tunaelewa kuwa shangazi wake Mbatia kaolewa na Mzee Bomani, Msukuma! Hiyo ndo sababu ya kumtetea kila Msukuma na rafiki zao hata akiwa fisadi? Tunaelewa kaoa Mhaya. Sasa hiyo ndo iwe sababu kuwatetea akina Karamagi wote? Mbatia unaitia aibu NCCR. Ndo maana, chini yan uongozi wake, NCCR imeshindwa kwenye chaguzi zote toka vitongoji hadi taifa kwa kukosa hoja na kutetea mafisadi. Sisi wengine tunamwona Sitta kama kiongozi wa mapambano magumu ya kutetea maslahi ya umma Tanzania. Hatutakubali kumpoteza ati kwa kumuudhi shemeji ya Mbatia au mjomba wake. NCCR ziiii!
 
jamani ukabila, ukabila huu utatumaliza! yameshakuwa ya kuwapendelea wasukuma na wahaya tena! loh salaale!
 
TENA CHA AJABU MBATIA HATA ANAPOONGEA KWENYE TV ANAONEKANA KAMA MMOJA HIVI!!!!

TOKA ATOKE MASOMONI ULAYA (UHOLANZI) KAJA NA UINGA FULANI KWA VILE ALIKUWA ULYA MASOMONI ANATAKA KUWAAMINISHA WADANGANYIKA KUWA HAKUNA UCHAWI?!!! AU HAKUNA WACHAWI AU WAGANGA KIENYEJI ULAYA?

KUNA MAMBO MEBI YA MSINGI, KUNA KIKUNDI CHA AKINA LOWASSA(GHOROFA ZAIDI YA 100 DAR, RA, CHENGE AND THE LIKES BABA LAO) WANAIMALIZA/WAMEIMALIZA NCHI HII,

KILA KONA YA OFISI YA SERIKALI KILIO KWA SASA HAKUNA HELA HAKUNA HELA MAMBO MENGI NI KAMA YAKO KWENYE DEADLOCK KWA SABABU YA MAFISADI. TUNASIKIA HATA DAWA YA MALARIA YA MSETO(alu) WANASEMA UTAFITI UMEFANYIKA NA KUGUNDUA KUWA ZINA MADHARA MAKUBWA KWA MWANADAMU LAKINI BAADA YA KUGUNDUA WAMEKAA KIMYA YOTE KULINDA MAFISADI HATA KAMA AFYA ZA WATU ZITAHARIBIKA!
MADINI TUNAGAWA BURE!! WANYAMA TUNGA WA buREEE!! NENDA TEMEKE HOSPTALI USHUHUDIE JINSI WATU WAGONJWA WANAYOCHANIA KITANDA! LAKINI HAYA HAYANDIKWI NA WAANDISHI WA HABARI KWA SASABU KWAO HIYO SI HABARI HAKUNA WA KUWAPA FEDHA ILI WAANDIKE, YOTE HII NI MAFISADI TUU!

MBATIA KAMA UNAJIFANYA WEWE NI MSOMI MWANASIASA ASIYE AMINI UCHAWI SHUGHULIKUA MATATATIZO MENGI ILI UNYANYUE MAISHA YA WATANZANIA NA SI KILA SIMU KUONEKANA KWENYE TV KAMA KICHAAA!! UNAINGE PUMBA TUU!!
TENA CHA AJABU HATA DR mvungI NAYE AMEKAA PEMBENI ANASIKILIZA UGOLO WAKO!

KUWA MWNEYEKITI WA CHAMA NDIYO HUTAKI HATA KUANDALIWA CHA KUSEMA DIKITETA MKUBWA!

VYAMA VYA SISA SASA NINAONA NAVYO VINA UFISADI WA KUTURISHA NYUMA,
MAFISADI WAMEZAA MAFISADI HATA WAJUKUU MAFISADI HADI JESHINI KIMYA!!!!!
 
Kwenye pointi kuwa hakuna wachawi ama waganga wa kienyeji ulaya jibu ni kwamba lazima watakuwepo lakini mambo kama hayo hayapewi nafasi wala kipaumbele kwenye jamii.

The rule of law na either elimu ya science biashara na ama dini ama vyote ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya wenzetu.

Afrika ushirikina ndio namba moja na hilo tusikatae.

Tukirudi kwa upande wa Mbatia kwa kweli amebadilika sana na pia naona keshakuwa mamluki.

Pia naendelea kutoa msisitizo kuhusu somo la Saikolojia.Ni somo litalolikwamuwa taifa na pengine bara zima kama likizingatiwa.

Ni somo litakaloweza kuwafanya watanzania waelewe kuwa si kila kitu ni uchawi.

Ni somo litakalotuwezesha kujitambuwa na kuwatambuwa wenzetu na hivyo kuweza kuwachagua viongozi bora na kujenga jamii bora.

Na pia kuweza kuya overcome mazingira na si kuona kila kitu ni nje ya uwezo wetu.

Kwa yale mambo ambayo ni wazi si ushirikina.

Mfano mdogo na jinsi ambavyo ugunduzi wa HEP ulivyofanyika na manufaa yake sasa.

Kwa Mwafrika...Maji ya namna hiyo yeye atasema yana chunusi na labda wengine hata kuyaabudu maji hayo kama ambavyo wamefanya kwa milima,miti,mizimu nk.

Lakini mtu mwingine akaja akaona haya maji yana nguvu za kuzungusha mashine na tukapata umeme.

Mifano ni mingi tu...Kama hata huyo mtoto Ramadhani mchawi na mama yake.

Ni kweli wanaweza kuwa wachawi lakini ni wazi wana upungufu wa akili na wanahitaji nsaada.

Badala yake vyombo vya habari vimerukia mchawi na mtoto kupigwa mipingu na unyanyasaji.

Sasa ni kweli alikutwa na kichwa cha binadamu...Lakini uchawi weka pembeni...Huyo mtoto na hata huyo mama yake ni wagonjwa wa akili na hata wakipimwa lazima itagundulika hivyo.

Sasa kama Rama na mama yao wanadaiwa kuwa ni wachawi kwanini huyo aliyefanya vituko huko bungeni asiwe mchawi?

Tunajuwa Rama alikutwa na kichwa cha binadamu...Hilo halimfanyi kuwa mchawi peke yake bali hata mgonjwa wa akili na anahitaji mental evaluation....

Maneno yake anayozungumza kama kichaa yanahusishwa na uchawi...Je hayo yanayotokea bungeni ni nini?

Sasa mimi nawaambia hivi ndugu zangu...Viongozi wetu wanaamini uchawi...Tena wengi tu wanaenda kuroga wapate uongozi.

Ushrikina ni mwingi sana huko Bongo...Na hivyo kunifanya mimi binafsi niamini kuwa...HAYO MAMBO YA USHIRIKINA BUNGENI YANALINDWA KWA MTIRIRIKO ULE ULE WA KULINDA HESHIMA YA SERIKALI....Tatizo serikali yenyewe ni ya MAFISADI.
 
Magazeti mengi ya leo Tanzania yamepambwa na taarifa za Mbatia wa NCCR kumtaka Spika wa Bunge ajiuzulu ati kwa kushabikia ushirikina Bungeni. Hii ni mara ya nne namwona Mbatia akitumika kama wakala wa mafisadi. Mara ya kwanza alikuja juu kumtetea Lowassa kuwa hakupewa nafasi ya kusikilizwa na Kamati ya Mwakyembe juu ya Richmond, bila kujua kuwa nafasi ya kujitetea alikuwa nayo Lowassa ndani ya Bunge, akachagua kujiuzulu kwa haraka ili mambo mengi yasijulikane. Kesi za EPA na Rada zilipojitokeza, Mbatia akawa bubu kabisa, akisubiri nafasi ya kumkaba koo Spika anayeruhusu mijadala ya aina hiyo Bungeni! Suala la ushirikina lilipoingia Bungeni, Mbatia akawa kinara wa hoja hiyo bila kuelewa kuwa uchunguzi ulikuwa wa lazima kujua kama kile kilichodaiwa kumwagwa Bungeni kilikuwa na sumu au la! Spika Sitta alijieleza vizuri kabisa toka mwanzo kuwa haamini mambo ya kishirikina, lakini lazima achukue tahadhari kulinda usalama wa Wabunge. Sitta alikosea wapi kumwita Mkemia Mkuu wa Serikali kuchunguza unga au vumbi lililokuwemo Bungeni? Mbona safari za ndege zinaahirishwa kwa bahasha ndogo tu kuonekana kwenye kiti mpaka uchunguzi ufanyike? Huo ni ushirikina? Tatizo la Mbatia ni elimu au uwakala/ukuwadi wa kulipwa na mafisadi? Watu tunaelewa kuwa shangazi wake Mbatia kaolewa na Mzee Bomani, Msukuma! Hiyo ndo sababu ya kumtetea kila Msukuma na rafiki zao hata akiwa fisadi? Tunaelewa kaoa Mhaya. Sasa hiyo ndo iwe sababu kuwatetea akina Karamagi wote? Mbatia unaitia aibu NCCR. Ndo maana, chini yan uongozi wake, NCCR imeshindwa kwenye chaguzi zote toka vitongoji hadi taifa kwa kukosa hoja na kutetea mafisadi. Sisi wengine tunamwona Sitta kama kiongozi wa mapambano magumu ya kutetea maslahi ya umma Tanzania. Hatutakubali kumpoteza ati kwa kumuudhi shemeji ya Mbatia au mjomba wake. NCCR ziiii!

Hapo kazi ipo! Ukioa sehemu basi unatetea watu wa mkoa wote, dada akiolewa sehemu basi mafisadi wa huko wamepona.

Hivi tukiondoa neno ukabila kwenye msamiati wetu, tutakosa nini?

Mbatia ni mate wangu shuleni, hakuwa mpenda siasa kama tulivyokuwa wengine, nashangaa yeye ndiye kaishia kuwa mwanasiasa.

Ila NCCR ndio kama inakufa vile, afadhali waungane tu na vyama vingine maana 2010 wakienda peke yao, sidhani kama NCCR watapata hata mbunge mmoja.
 
wahenga wanasema kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo...so sio kila anayejiita mpinzani ni mpinzani.
 
Hapo kazi ipo! Ukioa sehemu basi unatetea watu wa mkoa wote, dada akiolewa sehemu basi mafisadi wa huko wamepona.

Hivi tukiondoa neno ukabila kwenye msamiati wetu, tutakosa nini?

Mbatia ni mate wangu shuleni, hakuwa mpenda siasa kama tulivyokuwa wengine, nashangaa yeye ndiye kaishia kuwa mwanasiasa.

Ila NCCR ndio kama inakufa vile, afadhali waungane tu na vyama vingine maana 2010 wakienda peke yao, sidhani kama NCCR watapata hata mbunge mmoja.

mtanzania heshima mbele ndugu yangu!
mi naona unachelewesha kuweka wazi ukweli kuwa hawa NCCR wameshapotea na hawana jipya na hawana tofauti na SAU, PONA, UMD au TPP maendeleo...hawana jipya na soon watarudi kwa wenzao waliowatuma waje kutukoroga yaani CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom