Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
Muungano huu ukiendelea kama ulivyopangwa, yaani CHADEMA itatoa mgombea Urais, CUF mgombea mwenza huku Mbatia NCCR ikisubiri uwaziri mkuu , utaitoa CCM kizazi.
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
sasa umeandika nini, mbona hueleweki, unapoandika jaribu kusoma hii ni aibu mkuu.