Mbatia kwishinei!!

Mbatia kwishinei!!

Hata wewe kwishney. Acha akili za kenge kukimbia mvua na kudumbukia baharini,
 
TUWE NA UELEWA MPANA KIDOGO HAPO HAKUNA MUUNGANIKO WA KIVYAMA KWAMBA VIMEUNGANA NEVER! NI UMOJA WA MUDA MFUPI WA KUUNGANISHA NGUVU KTK KUDAI KATIBA ITAKAYO TUFAA WATANZANIA WA SASA NA WAKESHO! <in my own view>
 
muongoza mashambulizi ni yuleyule kafulila au wamepata striker mpya ?
 
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!

mtatapatapa sana mwaka huu,magamba badala ya kutimiza ahadi zenu lukiki kwa watanzania mlivyo mambulura mnahangaika na mbatia.kweli sikio la kufa huwa haliskii dawa
 
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!

Acha porojo wewe, kwa hiki alichokifanya Mbatia anajijenga na kuwapa imani wananchi na 2015 atakuwa Mbunge kamili kupitia Jimbo moja linalomikiwa na CCM kwa sasa. Hao wabaya wake unaowazungumziwa wewe ni akina nani? tumeshuhudia Wabunge wote wa upinzani wakitoka kwa pamoja isipokuwa Mrema pekee je na hao wabunge wengine wa NCCR waliokuwa wakitoka nje ya Bunge katika Bunge lililopita unawaweka kundi gani kwani na wao si waliwaunga mkono wabunge wa CHADEMA?
 
Amekwisha kwa kuminya keyboard then sent au umefanya utafiti na kama utafiti. Kafuli alipolia kama mtoto na kupiga magoti ma ssm wakamsaidia kuwa mbunge wa mahakama sijui kama kuna atarudia kuvamia msitu na wembe kisa mkali wakati msitu wenyewe ni wa magogo sio hata nyasi.
WASHANIPATA
 
Kwa msimamo aliouonyesha Mbatia kipindi hiki kwa kuungana na viongozi wenzake wa upinzani kiukweli heshima yake ndogo aliyokuwanayo hakika heshima imepanda.
 
Ndoa wakifinga na ccm sawa ila na vyama vingine tatizo!
 
hapa sioni kuisha kwake bali amepata mwamuko upya na amerudisha imani kwa watanzania kama mtetezi wa wanyonge. Sasa hawa mburula wanaanza kuchonga eti muungano, kama ni muungano tupe jina linalokubalika kama la muungano.
 
Muungano huu ukiendelea kama ulivyopangwa, yaani CHADEMA itatoa mgombea Urais, CUF mgombea mwenza huku Mbatia NCCR ikisubiri uwaziri mkuu , utaitoa CCM kizazi.
 
haya ni maneno ya uchochezi kwa sababau muungano wa vyama umekubarikaa kwenye vyama mshirika.kwa sababu hiyo vikao vingi vinaendelea na wawakirishi wa vyama wana shiriki na si mhe.Mbatia sio yeye pekee yake atahudhuria.kama watu huwa hamna taarifa sasa hihi muhimu ukuiliza ili kuwa na uhakika wa kile uanacho kisema kwenye jamii.
 
TUWE NA UELEWA MPANA KIDOGO HAPO HAKUNA MUUNGANIKO WA KIVYAMA KWAMBA VIMEUNGANA NEVER! NI UMOJA WA MUDA MFUPI WA KUUNGANISHA NGUVU KTK KUDAI KATIBA ITAKAYO TUFAA WATANZANIA WA SASA NA WAKESHO! <in my own view>

ni sahihi kabisa umeongea .ni jambo la msingi kuweka nguvu pamoja kudai katiba mpya,kuna watu uelewa wao mdogo.
 
Wameungana kwa maslahi ya Nchi,Siyo kwa maslahi ya akina Kafulila...! Mbatia usirudi nyuma katika hili la kutetea Watanzania......!
 
Back
Top Bottom