mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 459
Wewe lazima utakuwa msukule kwani mchawi hutambuliwa na mchawi Naona Nyumbu mmeamka sasa kumtetea Simba wenu mbowe
Elimu haina Mwisho, ni vema ukarejea darasani kwani elimu ina faida nyingi ikiwemo kujilinda dhidi ya wadudu funza na pia kuweza kuwasiliana na watu mbali mbali kwa ufasaha zaidi! Bahati mbaya unachokiandika tunashindwa kukielewa unamaanisha nini... neno MSARITI ni nini? inahusiana na zile 250Millioni alizokabidhiwa ZZK pale CRDB? Inauhusiano na zile transactions za dola ambazo ZZK alikuwa anazifanya kule Ujerumani? Inauhusiano na Zile Mpesa alizokuwa anawatumia akina Nyakarungu, Shonza, Mtela, Shibuda et al? au hilo neno linauhusiano na zile kampeni ambazo ZZK alikuwa anamfanyia JK na Kafulila kule Kigoma? ... Ni vigumu sana kusafisha rangi ya ngozi! ZZK hawezi kusafishika hata kwa bleach, JIK, Msasa wala kwa kummenya ngozi ...Usariti upi ? Mbowe anapewa pesa na wana ccm na pesa kazitafuna mwenyewe iweje yeye si msariti ama kweli Nyumbu wapo wengi sana Simba ( Mbowe) atawatawala milele hakuna nyumbu kumsogelea Simba
sio kila mtu ana chama we akili ndogo sisi tuangalia tanzania kwanza,unatokwa na povu mmemuhamisha mkurugenzi wa arusha kwa sababu wa lumumba wote wachumia tumbo kawanyima ten percent
Usalama wa taifa huyo
Akili ndogo unazo wee Nyumbu unayetwaliwa na Simba milele
Makofila halimi tumbaku. Nilikuwa namaanisha vijana wa Mpanda. Hata hivyo, biashara zake ni ndogo-ndogo tu, pia sidhani kama mtu akiwa anamiliki/kufanya biashara ndogo-ndogo kunaweza kumzuia kugombea uongozi ndani ya chama....
Kwa nini David Kafulila hakugombea?
Zitto hajugombea huku
Kama wameweza kumzawadia ubunge kwa kazi walizomtuma watashindwa kulinda uenyekiti wake,maanake kule wameshampoteza MM,dhubutu na hapo walaze damu.Daaaaa yani Charles Makofila kashindwa? Jamaa ni jembe sana!
Akili ndogo unazo wee Nyumbu unayetwaliwa na Simba milele
Mbatia amefanikiwa kutetea uenyekiti wake. Source star tv