kuna tetesi kwamba makamo mwenyekiti atateuliwa mwanamke tena kutoka mkoa wa mara na huyo mtu aliwahi kuwa kiongozi wa chadema wilaya mojawapo mkoani mara na kiongozi wa kitaifa chadema kupitia baraza kabla ya kutimkia huko nccra mageuzi hii nihofia ukabila,ukanda,pia jinsia
Kumbe ni mfugaji wa simbilisi
Mkuu sasa hivi mpanda, vijana wote wamejikita kwenye biashara ya kulima tumbaku, yaani vijana wote utawakuta mashambani wanalima (Ila utakuta mtu 1 ana ekari 1 au 2)... Wanadai tumbaku inalipa sana.
Usultani bado upo tanzania!!!
nasikia kwa aibu baada ya kushuhudia demokrasia ya uchaguzi nccr,mbowe kaamua uchaguzi ufanyike june,atagombea nafasi ya uenyekiti wa cdm na kamanda yerico nyerere.Bora Mbatia ameonyesha Demokrasia, MBOWE hataki kusikia kitu inayoitwa uchaguzi chadema.
na kikwete je?Bora Mbatia ameonyesha Demokrasia, MBOWE hataki kusikia kitu inayoitwa uchaguzi chadema.
teh teh...kubrush viatu
Ko kumbe ni mkulima wa hekali mbili za tumbaku nccr kweli wanajua maigizo
Makofila halimi tumbaku. Nilikuwa namaanisha vijana wa Mpanda. Hata hivyo, biashara zake ni ndogo-ndogo tu, pia sidhani kama mtu akiwa anamiliki/kufanya biashara ndogo-ndogo kunaweza kumzuia kugombea uongozi ndani ya chama....
Utasikia pia Uchaguzi wa Chadema Taifa: Mbowe aibuka Kidedea amshinda Sugu kwa mbali!
Mbatia janga la taifa
Zitto hajugombea huku
Eti anamuita Mangula comrade, sijui kwa lipi..!Mbatia janga la taifa
Kuna aliyetarajia matokeo tofauti na hayo?
Mbatia janga la taifa