Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,642
- 29,724
Hahaa.Flora huruma iliisha kwa kweli
Hapo unakuta kuna kifaa haipati usingizi kumuwaza.!!
Hahaa.Flora huruma iliisha kwa kweli
hata amber ruty hampi huyu.Hahaa.
Hapo unakuta kuna kifaa haipati usingizi kumuwaza.!!
Haha..hata amber ruty hampi huyu.
Mkuu samahani unaweza kuniambia nyimbo yake hata moja niingie YouTube labda nitamuelewa, angalau Flora Mbasha namjua na kuna wimbo wake mmoja unaujua. Huyu yeye wimbo wake ni upi?msanii wa nyimbo za injili alikuwa mme wa flora mbasha
Mnyaturu
hahah kumbe ni mnyahoo ??
Mkuu samahani unaweza kuniambia nyimbo yake hata moja niingie YouTube labda nitamuelewa, angalau Flora Mbasha namjua na kuna wimbo wake mmoja unaujua. Huyu yeye wimbo wake ni upi?
Naomba wakati ukifika, uombe kwa niaba yangu pia mkuu.!!Ni muda Umefika wa kumuomba msamaha dada yetu Flora Mbasha kwa matusi tuliyomtukana baada ya kumpiga chini huyu Jamaa.
Acha kuwaza ovyo, wanyiramba hawako hivyoKama ni mtu wa Singida nahisi ni mnyiramba kwa kuzingatia hilo jina.
Alaf muimbaji gani bishop hivyo, alaf nikimtafuta atajiskia sana, nitaongeza vyuwaz naye ajisifu aseme ana vyuwaz wengijmaa kuimba hajui, ingia youtube ana nyimbo inaitwa habari njema
🤣 🤣 🤣 huyu jamaa ni msukuma bila shaka.
Huyu jamaa ni bora tu Flora alimkimbia,dume linajipodoa na kujichubua zaidi ya kina Wema.ndiyomaana mke kakimbia
Acha kuwaza ovyo, wanyiramba hawako hivyo
Ila huyu jamaa kuna shida pahali
Anahitaji tiba ya kisaikolojia....Tangu apigwe chini na Flora dishi limeyumba na ipo siku tutakuja kusikia anamtafuna mwanae yule wa kike anayelala nae hotelini na kula bata zanzibar.Ila huyu jamaa kuna shida pahali