Mambo ya Meme za vichekesho mitandaoni.
Si unajua Mbappe hapa kati kutokana na mwenendo wake wa kupenda ukubwa akawa anafananishwa na dikteta pale Madrid.
Sasa watengeneza meme wakamu edit Mbappe kwenye video clip akiwa katika sura ya Mao Ze Dong baba wa mageuzi ya China.
Waandishi wa habari walipokuwa wanamuhoji Mbappe kwamba hipi ni meme bora ya vichekesho anayoipenda sana mitandaoni.
Akajibu ni ile yeye akiwa katika sura ya dikteta Mao Zedong.
Ilo ndio kosa lake.
Mao Zedong ni kama nyerere wetu Tanzania kumsema vibaya mitandaoni uko China ni kosa kubwa na mwiko kabisa.
Baada ya hapo tu makampuni kadhaa yaliyokuwa na mkataba ya udhamini na Mbappe yakapiga chini udhamini huo.
Television ya taifa ya China ikakata kurusha matangazo ya La Liga.
Japo Mbappe ameshaomba msamaha ila wachina wame mind kinyama.
View attachment 3702256