Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,825
🤣🤣🤣 Imagine cheusi mieee sura ya mlenda, nisifiwe hivi🤣🤣Vimeo tupo wengi. Mbape is Sexy as hell.
Kudadekiiii , nakupa ATM card, ukajitolee mwenyewe Hela yako
🤣🤣🤣 Imagine cheusi mieee sura ya mlenda, nisifiwe hivi🤣🤣Vimeo tupo wengi. Mbape is Sexy as hell.
😅😅😅 utadhani wao hawampigii nyeto Nicki MinajUnawaumiza watu kihisia🤣🤣
Wakumbushe wanaume wasilete sana makasirikoHana madhara, atabaki kumshabikia kwenye picha tu kwa mb ulizomnunulia
Mambooo Mzungu 🤩
Mwanaume si lazima kuwa na sura nzuri kumvutia mwanamke...huwa mnakosea wapi sijui...🤣🤣🤣 Imagine cheusi mieee sura ya mlenda, nisifiwe hivi🤣🤣
Kudadekiiii , nakupa ATM card, ukajitolee mwenyewe Hela yako
Kuna huyo anajiita Card B ..😅😅😅 utadhani wao hawampigii nyeto Nicki Minaj
Wanapiga kishenzi.Au Leona Lewis woi😅😅😅 utadhani wao hawampigii nyeto Nicki Minaj
Nifundishe kuwa romantic ning'oe watoto wazuri🤣Mwanaume si lazima kuwa na sura nzuri kumvutia mwanamke...huwa mnakosea wapi sijui...
Kuwa tu romantic kwisha habari yake.....
Ndioooo ndioooooo lkn tukiwa romantic tukawa tunawajali, mnatuita Ma Buzi 🤣Mwanaume si lazima kuwa na sura nzuri kumvutia mwanamke...huwa mnakosea wapi sijui...
Kuwa tu romantic kwisha habari yake.....
Spana spanaMbaya zaidi unakuta weee ni Kafupiiiiiu keusiii kama Mimi
Hapo nampiga Vikwazo Kila Mahali, mpaka asione weusi na ufupi, aone Umuhim wangu kwake .
Maninaaaa
Nipo jiran hapa nakula pindi la DemiNifundishe kuwa romantic ning'oe watoto wazuri🤣
Endelea kuiga igaLeo naenda kunyoa ndevu zote![]()

Ila inaumiza, nikuudumie halafu hisia upeleke kwa mwingine asiyekuhudumia! Ni sawa na kumdharau mzazi wako anayekuletea ugali kwa kumfananisha na jirani yenu tajiri asiyekuhudumia.Wakumbushe wanaume wasilete sana makasiriko
Wewe ni mcharuko unajulikanaVimeo tupo wengi. Mbape is Sexy as hell.
Ni kweli kabisa..ingawa pia na sisi hatujawahi elewekaMwanaume si lazima kuwa na sura nzuri kumvutia mwanamke...huwa mnakosea wapi sijui...
Kuwa tu romantic kwisha habari yake.....
Ukweli utabaki sisi tuko mburahati yeye yuko mambele huko🤣Ila inaumiza, nikuudumie halafu hisia upeleke kwa mwingine asiyekuhudumia! Ni sawa na kumdharau mzazi wako anayekuletea ugali kwa kumfananisha na jirani yenu tajiri asiyekuhudumia.