Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Hahaha niko na usumbufu mwingi utajirudi tu mwenyewe najua, sijui “babe nisaidie kushusha net kuna mbu. jibu ni moja tu, “muite Mbappe akusaidie kushusha net mimi siyo mchoyo kwa mbu wache wale damu leo”Yani hapo kama ni mimi walai lazima nikuzidishie hasira😂😂maana nitakucheka mpka nje ya uzio
Maskini poleni Sikuwahi kujua
Utakuwa na kisirani cha North Korea walaiHahaha uatajirudi mwenyewe najua, sijui “babe nisaidie kushusha net kuna mbu. jibu ni moja tu, “muite Mbappe akusaidie kushusha net mimi siyo mchoyo kwa mbu wache wale damu leo”
😂😂 ndo hivyoKama vile navyomtaman Card-B ila ndo Ivo 🤣🤣🤣🤣
Sio Kwa kujitoa out lohBado mnatutegemea tu7
Bob Usiwe serious kimaneno , tuko tunapeana Fan kuelekea sikukuuu .Unaliwa na wanywa vi diamond (kitoko) utakuta wewe hata si hadhi yangu , na unataka ruka nchi
From now ur my jamiiforum mbappe's😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Usiogopeee kua na Amani ,ni mambo matamu tuuuuu ya Raha rahaarahaa
Yaaan basi tuuu ,ila utafanyaje Sasa 🤣🤣😂😂 ndo hivyo
Mimi sio hadhi yako kama ambayo wewe sio levels zangu. Ipo hivyo na maisha yanasongaUnaliwa na wanywa vi diamond (kitoko) utakuta wewe hata si hadhi yangu , na unataka ruka nchi
Na mimi huwa sio msahaulifu nitakomaa na wewe mpaka ukubali yaishe.Utakuwa na kisirani cha North Korea walai
Kha🤣
Nyiieeee nimeshavishwaaa Crown hapaaa !!!From now ur my jamiiforum mbappe's😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Hiiii inaitwa Adui mwombee njaaa, atanyoosha mikono tuuNa mimi huwa sio msahaulifu nitakomaa na wewe mpaka ukubali yaishe.
Sijui “babe mbona leo umerudi usiku saa tisa na simu hupokei! jibu ni moja tu “nilikesha uwanjani kwa Mkapa nilikua najifunza chenga kama za Mbappe”
😅😅😅😅Nyiieeee nimeshavishwaaa Crown hapaaa !!!
Mbape wa kiJF KiJF,🤣..
Am now thinking about how good you are going to taste 🤣🤣"Taste"
Haha na ni kwenye vitu vidogo-vidogo tu ambavyo huwa wanasumbuka navyo.🤣🤣🤣🤣 Hiiii inaitwa Adui mwombee njaaa, atanyoosha mikono tuu
Every single one of your curves deserves to be worshipped by Me 🤣🤣Hahahaaaaaa....ur welcomeee
Yaani bless mom so unanisaliti kisa Cha mbape kweli. Haya mmeo bandika picha za mbape chumbani ukutani ama screen saver Kama hujapata talaka Mia kidogo😂😂Poleni jamani tupooo pamojaaa...Ila kwaa ishuu ya Mbappe tumeshindwaa kujizuiaaa...na sisi tunapendaa vitu vizuriiiii..
Hahahahaha iyo shooo lazima aieleweee kudadekiHaha na ni kwenye vitu vidogo-vidogo tu ambavyo huwa wanasumbuka navyo.
“Baba watoto naomba nisogezee hiyo sahani hapo” jibu ni moja tu “mama ake cheki na Mbappe akusaidie
Kaka shikamoooooo...Mimi leo nilikuwaa tu nahave fun nothing seriousYaani bless mom so unanisaliti kisa Cha mbape kweli. Haya mmeo bandika picha za mbape chumbani ukutani ama screen saver Kama hujapata talaka Mia kidogo
Hahah atakiri tu mwenyewe kuwa Issa ndiyo MasihiHahahahaha iyo shooo lazima aieleweee kudadeki
Niseme nn Tena?? Mbappe is here... He just want to run his tongue all over your body until you cuum and scream his nameee "Mbapppeeeee ".😅😅😅😅
Na misamaha juu huku anajichekesha 🤣🤣Hahah atakiri tu mwenyewe kuwa Issa ndiyo Masihi