abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 856
- 788
Naitaji mbao treated nyingi za;
Zinahitajika ndefu kwenye futi 18 au zaidi. Natafuta zenye bei nzuri sana sababu nahitaji nyingi. Na hiyo ndiyo sababu ya ku-post kwenye forum hii. Vinginevyo najua wapi kununua zenye bei ya kawaida ya sokoni.
Ukiwasiliana na mimi nitumie pamoja na bei zako.
- 2 x 2 = 280 pcs ndefu
- 4 x 2 = 305 pcs
- 1 x 10 = 18 Fascia Board