Leo nimebahatika kuona macho
ya mdada sijawahipo kuyaona ,hana mwili ila macho yake tu ,utafikiri
anakwambia kitu na huchoki kumtazama ,ila yeye kukutazama ndio kindende
,mwanzo nilizani anataka ameshikwa na kizunguzungu na anataka kuanguka
,ila hapana yamemfanya yeye mzima kuonekana ni kivutio nafikiri si
mTanzania yule maana Tz miwanja kila rangi utazani kasuku wa Brazili.
Utadhani amechoka lakini hapana ndivyo alivyoumbwa ,wala sio wale wenye
smiling face ,sijui hapa JF ,nazani wa humu wana macho kama marumaru
maneno yao tu yanakatisha tamaa !