Mbagala moja

Mbagala moja

Wadau ushauri mke wangu kakimbia home kisa madeni alikuwa anakopa kimia kimia sasa ishu imefumuka kakimbia mumewe sijui moja wala mbili ni miezi sita sasa sijamuona kaniachia watoto wawili ushauri please
 
Pole sana tuliza akili Lea wanao..huko aliko anaweza keshapata mume mwingine lakini wanao watabaki kuwa wanao wape malezi wanayostahili
 
Back
Top Bottom