Mbadala wa Kickass Torrent

Mbadala wa Kickass Torrent

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,933
Baada ya kickass kufungiwa nini imekuwa mbadala wake ...mimi ni kama naumwa week ya pili sasa sina hamu ya kitu chochote. na kazini nako nimeom ruhusa maana sina hata raha ya kufanya kazi baada ya kickass kuwa blocked .
 
Ukuta umebomoka hela ya tofali nyingine hakuna nani amekula hizi hela?
 
Baada ya kufungiwa kwa miez kadhaa ile website maarufu dunian ya kudowload movies,series,games,vitabu n.k imerudi hewan tena ila wamebadilisha domain tu
Inaitwa www.kickass.cd kwahiyo unaweza kuingia kudowload ni bure kabisa
 
mkuu mbona ilikuwepo hewani muda tu.
Kickass na Piratebay mara kwa mara hubadilisha domain ili kukwepa mikono ya sheria huko Ulaya na Marekani
 
Baada ya kufungiwa kwa miez kadhaa ile website maarufu dunian ya kudowload movies,series,games,vitabu n.k imerudi hewan tena ila wamebadilisha domain tu
Inaitwa www.kickass.cd kwahiyo unaweza kuingia kudowload ni bure kabisa
Basi mi sikuaga nasoma maelezo vzr,nikawa najua ni simu yangu ndo ina tatizo kumbe ilikua ni hvyo?
 
Ninamuda kidogo sijaitumia. Leo nataka kupakua lakini naona proxy zake zote ziko down. Na kuna habari founder wake amekamatwa. Nimesikitika sana. Kama kuna mtu anaipata KAT naomba link.
 
Ninamuda kidogo sijaitumia. Leo nataka kupakua lakini naona proxy zake zote ziko down. Na kuna habari founder wake amekamatwa. Nimesikitika sana. Kama kuna mtu anaipata KAT naomba link.

Kat.how
 
Serikali imeuzima mtandao huko wa maharamia Mimi nakupa Link hii usiwaambie kama nimekupa..........kickass.how
 
Back
Top Bottom