kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 May 30, 2025 #1 Hii mashine nimeiona huko mitandaoni imenivutia, kwanza unapata juice halisi kabisa, maana haisagi inakamua, na kukusanya makapi sehemu yake. Kama kuna mtu anatumia kifaa kama hiki anaweza kuja kutuelezea vizuri zaidi. Attachments Screenshot_20250527_132854_Google.jpg 168.3 KB · Views: 18
Hii mashine nimeiona huko mitandaoni imenivutia, kwanza unapata juice halisi kabisa, maana haisagi inakamua, na kukusanya makapi sehemu yake. Kama kuna mtu anatumia kifaa kama hiki anaweza kuja kutuelezea vizuri zaidi.