Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,493
- 7,206
ukiona MAREKANI anaivimbia nchi kujifanya anaitetea basi jua kaweka kiongozi wake au anataka kumtoa huyo aliyopo amuweke anayemtakaMarekani now days simuelewi. Anaingilia migogoro, anaichokonoaaa moto ukiwaka anakaa pembeni.
Taiwan asimuamini na kumtegemea US
kamwe hawezi kupeleka jeshi na "VYUMA CHAKAVU" katika nchi amabyo anajua hawamsupport kwa mtindo wa kukifanya anaitetea
7bu kuu mi muoga anaogopa VITA anaogopa kuchapika anajua fika bila msaada wa kiongozi wa hiyo nchi au rebel wa hiyo nchi hawezi kutoboa
MWANAUME pekee anayeweza peleka Moto popote pale anayepiga Nje ndani bila kuhitaji msaada wa mtu yoyote
nadhani muulize Bwana Utam atakuambia nani huyo jamaa