Mbabe wa barabarani, wengine ni hamna kitu

Uzalishaji wake ulianza 2005 Hadi 2009 si mwingine mbali ni mnyama WA barabarani nissani fuga GT 450 popote apitapo maajabu yake yanasimuliwa mpaka Kwa majirani huku kukiwa na matokeo matatu
GT 250
GT 350
GT 450
Ukilipata hili GT 450 sports version vita yake si ya kitoto barabarani
Nissan yoyote kwenye mwinuko au milimani hakuna kitu advantage ya Nissan ni kwenye Tambalale na miteremko
 
Holy Man achana na Audi ya nini?

Chukua F30 ya 2013 tu. Hafu uzuri wa F series zote ni turbo, huna haja ya kuchukua cc3000 maana Wajerumani washafanya yao, cc2000 tu mziki wake hauguswi na mjapan wa cc3500.

Mfano, 2013 BMW F30 320 N20 yenye cyl 4 inakutosha kabisa.

Ila Miraba apo kasema kama unataka 6 cyl hapo ni N55, S55 au 58 zote izo 3000cc petroleum.

Ndani F30 ni kama cockpit ya Lockheed Martin F22 Raptor.
😀😀😀😀 Lockheed Martin eeh! Nataka chombo ya mzungu ina 6 cyl, cc kuanzia 3000+, plus twin turbo mzeee
 
Holy Man achana na Audi ya nini?

Chukua F30 ya 2013 tu. Hafu uzuri wa F series zote ni turbo, huna haja ya kuchukua cc3000 maana Wajerumani washafanya yao, cc2000 tu mziki wake hauguswi na mjapan wa cc3500.

Mfano, 2013 BMW F30 320 N20 yenye cyl 4 inakutosha kabisa.

Ila Miraba apo kasema kama unataka 6 cyl hapo ni N55, S55 au 58 zote izo 3000cc petroleum.

Ndani F30 ni kama cockpit ya Lockheed Martin F22 Raptor.
5CA61C8C-F2B3-45EC-BC4E-967ABC75C39B.jpeg

Anakuja kumlamba lolo F30 mapema mno😅
 
Back
Top Bottom