Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

Uliwahi kukutana na Mkama sharp mkuu?
 
Ah mkama sharp (rip)

Ova
Asante mkuu nimekusoma ulipotamka kwa hisia. Yule jamaa alikuwa habari nyingine. Pale Relwe gerezani kwenye ngumi alikuwa na uwezo wa kudhibiti vurugu peke yake. Halafu mzee mwenzetu anasema tulikuwa waoga. Haa utaleta ubabe mbele ya Mkama??
 
Nkama sharp pia alikua promota wa ngumi
Asante mkuu nimekusoma ulipotamka kwa hisia. Yule jamaa alikuwa habari nyingine. Pale Relwe gerezani kwenye ngumi alikuwa na uwezo wa kudhibiti vurugu peke yake. Halafu mzee mwenzetu anasema tulikuwa waoga. Haa utaleta ubabe mbele ya Mkama??
 
Jamaa alitisha sana, sijui kapotelea wapi huyu "gangwe".
Amefariki unaweza ukafika mwaka wa nne sasa
Wababe wa dar es salaam watokeao Manzese kaanza Mwamba Zero kafatia jimmy casto akaja satana mwishoni.
Vifo vya zero na jimmy vilitokana na mapambano yao zero alipigwa na jimmy ikamletea complication na jimmy alipigwa na mwanafunzi wa zero khalifa kiumbe moto nae akapata complication ya pambano kuprlekea kufariki baadae.
Satani aliumwa kwa muda mrefu sana
 
Paul siza,au Mjomba siza,heavyweight boxing ,mazoezi lang'ata social hall
 
Paul siza,au Mjomba siza,heavyweight boxing ,mazoezi lang'ata social hall
Nlitoka safari moja kurudi cheni kbwa Dah langata hyo naenda toilet hyo nyuma kniona ahh mjomba kmbe nlijua ngombe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nkamwambia ahh mjomba hata mm akaniambia nlijua foreigner....
Duh
Kifo chke raia walimuaa,walienda pora sehemu wakati wanakimbia wenzake walimuacha si unajua alikuwa mzito mwili ule
Raia hawakufanya ajizi!

Ova
 
Asee Paul siza alifariki lini ?
 
Chura Alisha Rest in peace
 
Asee Paul siza alifariki lini ?
Kitambo sana mbona....
Ile micheni aliyokuwa anayavaa yote alikuwa anawapora watu kwenye mitungi ukilewa Ukienda chooni au ukitoka anakufata
Anakushika bega ukigeuka unakumbna na kitasa anakuchkulia [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…