Yes!! Lakini huanzaje kumvamia ????Jamii ya nyoka wakubwa kama Chatu ama Anakonda wanauwezo wq kuua Mamba kwa kujiviringisha katika mwili wa adui yake na kumfanya ashindwe kupumua.Hii hutokea hata kwa wanyama wakali jamii ya Paka kama Simba ama Chui nao wanapokosea mawindo yao kwq chatu nao umauti huweza kuwakuta wasipokuwa makini.