Mbaba "Bonge La Mtu" anayepokeaga wageni kwenye sherehe mbali za serikari!

Anaitwa Balozi Maharage, ndio Cfief Protocol Officer wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa wadhifa huo ndio anaongoza kitengo cha Itifaki wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
Balozi Mstaafu ABdul Cisco Mtiro alishastaafu utumishi wa uma.
 
TBC wameniboa sana, camera yao ipo angle moja tu, hawawezi kuonyesha matukio vizuri huku wanadai wana gari la matangazo la kisasa

Si mnasemaga hamuangalii TBC nyie leo kimekukuta nini mpk unatoa mimacho yako TBC?
 
TBC wameniboa sana, camera yao ipo angle moja tu, hawawezi kuonyesha matukio vizuri huku wanadai wana gari la matangazo la kisasa

Mkuu ndo wanapewa training ya jinsi ya kutumia hizo camera..kuna waandishi na wapiga picha walikuwa China three week ago na saivi kuna wachina nimewaona kwenye hilo gari wanazidi kuwapa mafunzo..hope watakuwa very conversant soon..
 
Anaitwa Balozi Maharage, ndio Cfief Protocol Officer wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa wadhifa huo ndio anaongoza kitengo cha Itifaki wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

Thank you!
 
Mkuu chukua likes za kutosha kutoka kwangu..umenitisha na hope utakuwa mmojawapo wa watu wa karibu kwenye hii ofisi..huyu jamaa anafanya kazi nzuri sana

Balozi Maharage ni kati ya ma al-watan wa zamani mjini.

Baba yake almaarufu marehemu Mzee Maharage alikuwa Mkuu wa Mkoa Tanga kitambo sana enzi za Nyerere.

Nilikuwa naenda kwao zamani kubadilishana novels za James Hadley Chase na wadogo zake.

Basi jamaa upige story gani ya mtoni ambayo haijui? Uongelee article gani ya Newsweek au TIME magazine ambayo hajaisoma, uongelee mziki gani mpya ambao haujui?

Nikisikia mtu kama balozi Maharage kakaa kwenye itifaki naweza kukubali, kwa sababu maisha yake tu alivyoishi alizingatia itifaki tangu ujana. Hawa ndio ma Beetles wa Upanga enzi hizoo kutoka nje ya nchi lazima uende kusoma au uwe baharia.

Halafu leo mtu anakwambia Dar kwao hata Maharage hamjui.

Sasa utamu umkute balozi Maharage na Balozi Mkapa wanapiga double double single malts from some Scottish highlands halafu wana discuss geopolitics "off the cuff".
 
TBC bado sana katika live coverege maana hao wanaochukua matukio baada ya kutuonesha sisi tusiokuwepo uwanjani wanashangaa wenyewe kwanza tukio likipita ndio anaelekeza kamera .

Hata mimi wameniboa sana,huyo muonesha matukio hafai,timua ksbisa pumbaf zake
 
Hao jamaa katika familia yao wana harufu ya nepotism kwenye Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje!.

Labda niseme tu kwamba, ofisi nyingi za Barozi za Tanzania nchi za nje zimejaa harufu ya nepotism. Kazi zinagawiwa kwa kufahamiana ndiyo maana hata huduma zake mara nyingi ni zero.

Hakuna wa kumuwajibisha mwenzake kwa sababu wote wamekuwa pamoja au wazazi wao walikuwa marafiki wa karibu.

Hii ndiyo dunia yenyewe. Mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake!.

attachment.php

1507573_662173287176465_1209790119_n.jpg

mohammed+maharage+1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom