MB za Vodacom zina chuma ulete?

MB za Vodacom zina chuma ulete?

Sisi tunaendelea na kifurushi cha chuo vd 500_500mb au 1500_1gb wiki nzima na unapewa 1gb za nyongeza kuperuz usiku kwa wiki
 
Tatizo halotel hawajaboresha Internet yao huku kwetu

Yani nisikufiche ndugu halotel wako vizuri vijijini kuliko mjini mkuu mimi juzi nienda msibani huko kijijini kwetu nilikutana na 3 g yanguvu mkuu sa sijajua maeneo ya hapo kwenu yanakuwaje.
 
Vodacom wanachuma ulete ktk bando zao wez sana.
 
Halotel ndio wez kabisa unanunua cha 3000 kinaisha masaa 9 au 10 unannua cha 5000 ndani ya siku moja wanakutumia msg kifurushi cha 3000 kimekarbia kuisha unapiga simu wanakwambia matumiz matumiz gan ya kumaliza gb 7 siku moja bora ingekua movie labda

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Nadhan hili lipo Kwa mtu na mtu mkuu,mbona hicho cha alfu 3 kwangu kinakaa Tu, Ila Kwa Voda huko hamna ubishi.
 
Nazungumzia halotel voda nilishaacha. 5000 gb7 siku moja kimeisha

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa mkuu,hebu angalia settings za app,isije kuwa zinaji update automatically huko background..Maana Mimi najiunga cha buku3 kile cha gb3 Zinakaa vizuri Tu... Kwahyo ni either setting au matumizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom