kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,261
- 1,785
Naandika huu uzi si kwania ya kuwaharibia Vodacom biashara hapana. Niko Vodacom tangu 2003 hadi leo hii.
Kipindi airtel wakiwa na internet zuri nilitumia Vodacom kwa mawasiliano pamoja na huduma ya Mpesa. Sasa karibia mwaka mzima (nasikia kuna kifaa Airtel walikiondoa kwenye mnara wao na kuupeleka Kakola ili kuvutia wateja wengi wa internet kutoka hapa kwetu).
Tangu hapo nimekuwa nanunua vufurushi vya Vodacom lakini amini hawa Vodacom mb zao zinaisha katika mazigira ya kutatanisha (chuma ulete). Leo kaja baba mmoja japo amelewa lkn kanifuata kuniuliza kuwa hivi MB huwa zinatofautiana!?
Voda nimeshindwa kabisa kuwavulia........... Jaribuni jamani kunielewesha ukizigatia mie si mtalaamu sana kama wanaume wa Dar.
NB: changieni haraka haraka kabla mods na ngenge lake hawajaufuta uzi huu.