Mb Dog umepotelea wapi ?

Game ngumu... ananyimbo za karibuni lakini tunaishia kuzisikiliza ktk flash tu.... Mziki umeshikiliwa na watu flan.. bila wao kupendezwa na ngoma zinazotoka basi husikiki... ni sawa na baba nyumbani akiamua hakuna kuwasha tv mpaka nextweek basi ujue hakuna kweli...
 

Kama ni kweli usemayo inauma sana kwakuwa jamaa ni jembe nyimbo zake zilihit mno, Mb Dog ana kipaji
 
Nyimbo zake za sasa hv mbaya.....
 
Kuna nyimbo za mb dog mpaka leo zina hit kinouma. Lakin kwa sahv huyo mbwa kwisha khabar yake.
 
MB dog anapiga tripu za mara kwa mara south africa....
 
Kuna nyimbo za mb dog mpaka leo zina hit kinouma. Lakin kwa sahv huyo mbwa kwisha khabar yake.

Alibamba mno enzi zakwe dogo, ingekuwa kipindi hiki bongofleva inalipa angekuwa njema sana
 
Mmenipeleka malkit m bdog ndio nani?
Na anafanya nn na wadhifa wake ni upi?
 
Sasa hivi yupo chini ya jamaa anaitwa QS, ndo meneja wake. Huyu jamaa pia ni meneja wa Nay wa Mitego na Q Chilla. Kama miezi mitatu iliyopita Mb Dog alitoa ngoma inaitwa Umenuna, ila haikuhit kiivyo.
 
Huwezi kumjua...kipindi mb dog yupo kwenye chati we ulikuwa unasoma chekechea....

mmmh! Umekosea, ungenambia mb dog n nani na anafanya nn, na shughuli zake zilienea kipnd gan?
Hapo ningekueleza vzr.

Ww Khantwe mm nmkubwa kwako, sijui kama umefikia hatua hata ya kulala bila chupi. Ww hapo nikikupa umri mkubwa sana utakuwa basi ni 31 lakn nahsi hata huko hujafika....
.................... ................. .........
Mm ni waenzi zile za plea, chacha, laizon.
Unazikumbuka zile sim za mezan za kuzungusha?
 
Last edited by a moderator:
Kile kitu chake "ulinambia kama waja MB Dog mi nakungooojaaah" kiliwahi kunipatia demu sehemu 2005, dah kitambo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…