What's good Bossman....
I'm just tryna keep it 100.
Manake usikute watu hata hawataki kabisa waume/wake zao wajue kuwa wamo humu.
Na hata kama wanajua, basi huenda wanawajua kwa jina moja tu. Hivi umeshawahi kuwaza mtu kama Zinduna anatumia majina gani mengine humu?
Wangapi huwa wanadai wako kwenye ndoa na watoto juu lakini wana wabebs wao humu ndani?
It's befuddling, to say the least!
Mumeo anajua kuwa upo JF? Na ID(s) yako/zako anaz(i)jua?
Mumeo anajua kuwa upo JF? Na ID(s) yako/zako anaz(i)jua?
hayo mengine tushayasikia sana. hebu tupe ushuhuda wako wa mambo mazuri tu hamisi, usichafue hali ya hewa nakuomba.
From past personal experience.....
Kwenda grocery shopping pamoja. Kwenda kula sehemu...kwenye mgahawa mzuri ulio na mandhari ya utulivu.
Kupika pamoja nyumbani....kucheza....mi napenda sana kucheza na mwenza wangu....mara mfinyane...mng'atane...umdunde ngumi (sio zile za kuumiza lakini...just play-fighting)....mara nijifiche nyuma ya mlango hafu akitokezea namtisha....basi akiruka mi nacheeeeeka.
Siku ambazo yuko off narudi nyumbani wakati wa lunch kupata nooner.
Ila shubiri ikija ingia....usiombe! Mnaweza tu mkaangaliana na kuishia kukasirikiana.
Ndoa zina mambo wewe.....

at leat umekuwa positive hapo kwenye red Nyani Ngabu,ila i wonder the reason most of the times uko negative concerning relationshipis!!!!!!!!!!just trying to think big and behind the keyboard n your handwriting.
ahsanteni kwa michango yenu. naendelea kuwasoma ila Vin Diesel acha fujo.
The difference between me and other folks is, I keep it real (the best I can), I don't look at life through rose-colored glasses, and I don't like sugarcoating things.
Now, if you and other people view that as being negative, then so be it. But I just call it as I see it.