ikyenja
Senior Member
- May 28, 2013
- 103
- 52
Wapendwa poleni na majukumu ya hapa na pale.
Ninaomba mnisaidie maneno mazuri na yanayovutia masikioni mwa mwanamke ukiwa nae nyumbani kwako au faragha popote panapofaa.
Sijajaliwa kutema cheche na maneno mazuri ya kuzungumza ili kumfanya mwenzangu atabasamu na kufurahia uwepo wangu kwake.
Kwa sababu hii tunatumia muda mwingi kukaa kimya tu, hata tukianzisha mada inakosa uchangiaji.
Hapa namaanisha kuzungumza na wife na si vinginevyo.
Asante