kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 518
Mi kuna mwanangu, usingizini huwa anaongea sana. Utakuta sema A, sema Ba, sema Cha. Sasa ukimuuliza anasema mwalimu kashika fimbo kubwa sana na asiyetamka anamchapa
Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.
Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.
Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani inafurahisha mno. Binamu alinisimulia vituko vingi tu vya kuongea kwa shemeji usingingizi.
Alinipa hii moja wapo:
kuna siku usiku wa manane wakati aliinuka kwenda msalani, aliporudi kuingia kitandani shemeji akajigeuza akiwa usingizini akianza kumwita kwa jina huku akisema..
"... bandika birika la chai jikoni, njiwa wamesha amka"