Mazungumzo Usingizini

Mazungumzo Usingizini

Mkuu Waterlemon Usije ukaomba aiunuke atembee huku akijisemesha usingizini.

E bwana usiseme... nilikuwa nina rafiki yangu amenitembelea. Lakini huyu desturi yake kutembea usiku akiwa usingizini. Unaweza kuamka kwenda chooni ukamkuta kasimama kati kati ya ukumbi gizani. Basi kwa uwoga wangu akija mie hulala na debe la kujisaidia stoki chumbani mpaka asubuhi. Na milango naikomea!!
 
Ukiona yuko hivyo usimstue we mshike mkono tu na umrudishe pahala husika usimsemeshe hata kidogo maana anaweza kuanguka kwa mstuko.
 
Ni kweli siyo ya kucheka, ila inakera sana kutajwa jina la mwengine wakati muda hu upo wewe. Ila nasikia pia faida yake ni, akichepuka utajua tu, siku ukimtilia wasiwasi, uchelewe kulala, tatizo huo siyo ushahidi tosha, ila unakuweka ktk nafasi nzuri ya kuujua ukweli.

Siwasiliani nae na bahati nzuri alishaolewa.

Cc Waterlemon & Bushland.

Ahsante!
 
ni ugonjwa unaitwa somniloguy ingawa hauna madhara lakini mtu akiwa nao unakera wengine, hasa wakati wa usiku wakati wengine wamelala. Kwa baadae wagonjwa wengi wa somniloguy wanaweza kupatwa na ugonjwa wa mshangao, na upweke (feeling loneliness) ambao unaweza kupelekea mtu kujinyonga.

Basi kamba tutazificha.
 
Inategemea na mtu nakumbuka mke wangu siku moja nilimpiga na alitambua kosa lake ilikua mchana mm nikaondoka nikarudi usiku nikala na kulala tulipo lala yeye usingizi ukampitia mapema kabla yangu mm huku tukiwa wote kitandani ghafla nikasikia anaongea huku akijutia kosa alilo lifanya na kuonesha kua ananipenda huku akionesha kua atabadiloka ili tuishi kwa amani wakati huo mm nilikua nawaza kumtimua hivyo nikaghairi na ndipo nikagundua kua huyu huwa anaongea mpaka sasa kikitokea kitu kwake mchana ambacho si cha kawaida usiku huwa anaongea na ukimuiliaza huwa anabisha
Mkuu hapo wife wako alicheza na akili yako tu ili kumaliza mgogoro uliokuwepo! Hiyo haikuwa ndoto...
 
Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.

Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.

Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamiiforum raha sanaaa
 
Mkuu hapo wife wako alicheza na akili yako tu ili kumaliza mgogoro uliokuwepo! Hiyo haikuwa ndoto...
Hapana mpaka sasa huwa anafanya hivyo, afu kuna binam yangu alitumwa mjini kuchukua bidhaa kwajili ya Duka alipofika akiwa bado hajaanza manunuzi aliona sehem wanacheza kamali nae akaingia kwenye mchezo ili faida ya juu baada ya mchezo anunulie mahitaji yake binafsi

Akacheza mara ya kwanza akapata mara ya pili kapata ya tatu akaweka pesa yote na akapigwa zote.

Sasa shida ikawa kurudi home na akirudi atasema nini ukizingatia mzee mkali balaa
Alipo fika akasema nimeibiwa pesa zote hivyo nimeshindwa kununua mzigo walijaribu kumbana akasema nimeibiwa

Basi aunt akamweleza mzee asimpige wala asifanye lolote mpaka kesho kwakua saizi ni usiku wataongea vizuri kesho wakalala lkn kumbe aunt aliweka mtego kwakua anamjua jamaa huwa anaongea USINGIZINI alijua ataongea tu

Kama kawaida yake jamaa akanza kujieleza pale kwanzia mwanzo wa tulio mpaka mwisho
 
Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.

Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.

Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani nimecheka hahahaha dah
 
Mi akati niko shule ya bweni marafiki zangu walikua wananiambia naongea mwenyewe usingizini na walitumia nafasi hiyo kuniuliza maswali personal, kwa madai yao nilikua nawajibu.
 
ngoja siku aanze hivi
''fredy jana ulisahau pochi pale gesti...''
sijui mumewe ataendeleza vp hayo mazungumzo
Yaani nna kaka yangu yeye alikua anasimulia siku yeke nzima usingizini. Kila alichokifanya machana anakisema usiku.
 
Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.

Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.

Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana
 
Kuna wale wanaamka ucku wanatembea ndani mwisho anashtuka anahisi amepotea lazima aite mtu amshike mkono amrudishe chumbani.
 
Wenye kuzungumza usingizini huwa kawaida hawasemi yenye kueleweka. Lakini wakati mwengine wanaweza wakasema mambo ambavyo yanachekesha sana.

Kipindi namtembelea binamu yangu huko kona za jijini alipokuwa akiishi na mkewe na mwana wao wa kiume. Siku moja mida ya jioni baada ya yeye kurejea toka kazini pamoja na mkewe tukakaa sebuleni baada ya mlo jioni kwa maongezi madogo madogo na kupumzika huku tukiangalia tv.

Shemeji akapitiwa na usingizi kwenye sofa, basi sie tukapunguza sauti ya tv na tukawa tunazungumza kwa sauti ya chini chini hivi ili tusimwamshe.

Basi baada ya kipindi, shemeji wakati bado macho bado kayafumba akiwa usingizini, aliinuka ghafla na kusema "ninja wanajitahada sana" huku akipiga makofi ya kushangilia.

Mie na binamu yangu tukaangaliana. Akanipa ishara nikae kimya kwa kuweka kidole mdomoni, ki masihara hivi akitabasamu (Nahisi alikuwa akimjulia mkewe kama hii ni desturi yake kuongea akiwa amelala) ... kisha akaanza kumzungumzisha zaidi...

Binamu: Wanajitihada za namna gani hizo baby?

Shemeji: Mitihani wanayoifanya migumu

Binamu: mitihani gani hiyo wanaifanya hao ninja darling?

Shemeji: Wanajifunza kunyoa kondoo lakini chura sio solution.

Binamu: Sasa honey, nini unahisi wewe wafanye?

Shemeji: I don't care if the sheep is in bed, lazima tumvalishe gauni jipya

Basi mie huku nagaragara kwa kicheko lakini najiziba mdomo nisicheke kwa sauti...

Binamu (huku akinisisitiza nisitoe sauti kwa kidole mdomoni): sasa gauni mpya tutaitoa wapi boo, sie tuna baby boy..

Shemeji: itabidi tuwaozeshe

Binamu akaona hapo sasa hatari... mwanae kuozeshwa na kondoo. Akainuka kumuamsha shemeji na kumsisitiza aende zake akapumzike chumbani...

Shemeji taratibu akaelekea chumbani macho akiyafinyanga finyanga hivi. Sie huku nyuma si vichecko hivyo.

Siku ya pili shemeji hakumbuki hata moja. Binamu ananiambia ndio tabia yake anapenda kumsemesha akiwa usingizini maana vituko vitupu..

Je kuna yeyote ambaye ashawahi kumsikia mtu akiongea usingizini. Kama ni ya kufurahisha basi iweke hapa tucheke...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.

Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.

Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mimi nina tatizo hilo pia wife kila cku huniambia huwa naongea ucku bahati Nzuri naongeaga Mara nyingi kiluga sasa na yeye sio lugha yangu hvyo huwa haelewi kitu, hajawahi hata cku moja kuniambia leo nimeongea kiswahili au kiingereza, offcource hii inanishangaza sana bse kilugha naongea kwa nudra sana mpaka ukutane na mtu anayekijua kazini lugha zinazoruhusiwa ni kiswahili& kiingereza tu.
 
Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.

Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.

Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaa daaah!huyo jamaa kiboko
 
Kuna hii dawa inaitwa morphine inapatikana hospital sema ipo under survailance ni noma mtu akuekee unasema yote sio wa hospital tunayaona ukiamua kupata detail zote unapata
 
Back
Top Bottom